Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,393
- 17,768
Uwezo hamna mnabebwa kiusenger*Hujui mpira wewe hata wangekuwa wamerudi makwao wangeitwa penati ipigwe
Tatizo mazingira ya penalty, I won't speak anything, if I speak I will in big trouble:Mbona Mufc kupewa penalty ni big ishu Sana , lakn timu nyingine ambazo zipo top 4 zikipewa Ni kawaida ??
Kama juz kati maliva yalipewa mbili lakni Hakuna aliyezungumzia!!
Siku hizi Kuna VAR, penalty Ni za halali sio uamuz wa refa Kama ilivyokuwa
Mm nilipoona wamerudisha 2-2 nikaondoka uwanjani, matokeo yamenikuta nipo road nkawasikia madogo wanaongelea penalti ya Bruno ndo nkawauliza.Hii ni moja kati ya mechi ambayo tumeshinda ila nafsi yangu ha-feel chochote.
Daah,,Ole anaifundisha nini hii timu?..Timu hata ule utayari haina
Wachezaji kazi ni kupoteza mipira na kupiga watu gwara uwanjani
AWB is Gone
Ni muda kidogo tu mpaka pale Pogba atakapoanza vurugu zake