Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Degea, pogba, rashford na lindelov hata wacheze vipi hata wawe na form mbovu lazima ole awaanzishe.
Huyu kocha ni kirusi asepe tu hajielewi. Haiwezekani game iliopita pogba, rashford na lindelov wacheze utopoto na leo waanze tena *** ole anatia hasira sana.

Fred juzi na vdb wamecheza vizuri why wasianze?? Bailly is back why asianze??
Any way GGMU tuombee ushindi tu ila nawaambieni ole hakuna kocha hajui atendalo na makombe tutaendelea kuyasikia kwa majirani
 
Siamini kwamba kikosi cha watu 18 hakina forward hata mmoja benchi. McT, Henderson, lingard, Fred, Vdb, bailly na Fuso mensah
 
Katika dakika hizi 25 mnasemaje wadau?? Kweli hadi hawa tunamuhitaji sancho kudominate mechi kama hizi? Attempt 4 kwa 1 tena hatuna on target jamaa wana kama 2 hivi na mlingoti juu.
Ngoja niendelee kuangalia labda kuna jipya mbeleni lakini mmmh NEHIE.
 
OGS ASIPOMSTAAFISHA MAPEMA POGBA TUTAPATA TABU SANA...MBONA MATIC UMRI UMEENDA NA ANACHEZA VIZURI TUU..pumbaf sana.
 
AWB,Fernandes,Maguire,James walianza poa sana,,lakini tukiwaangalia kadri siku zinavyokwenda wanazidi kupoteana..Kuna kitu Ole na Staff wenzake wanazingua kwenye training for sure..

Sema let's give it a time kidogo,tuone hawa wachezaji wataendeleaje
Hao wachezaji watauzwa tutatafuta wengine.

Lingard amekufa kiwango, kosa la nani?
 
Back
Top Bottom