GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,678
- 18,002
Hapo kwenye coaching staff umehit penyewe.Mechi ya Crystal Palace tulifungwa kwa ujinga wa benchi letu la ufundi, Paul alikuwa hana match fitness na hakuwepo ktk programs za timu kwa zaidi ya wiki tatu ali-train siku nne tu lakini wakamuanzisha. Upande wa beki Luke Shaw pia naye hakupaswa kuanza ahead ya Brandon naye hakuwa na match fitness compared to Brandon, kosa lingine kubwa sana hili ndilo lilotugharimu sana mpaka muda huu sijajua kigezo gani kilitumika kuwaanzisha Mensah na Daniel James badala ya Aaron na Mason?
Nina mashaka sana na uwezo wa kiakili wa benchi letu la ufundi hapa Ed (japo nae ni wale wale same WhatsApp group) anapaswa hata aongeze nguvu tutafute hata kocha msaidizi mpya Mike Phelan hafai hata kipindi cha Fergie baada ya kuondoka Carlos Queiroz tulianza kupwaya hana mipango, first team coaches we all know wote ni average tu Michael Carrick & Kieran McKenna.
Kuelekea kesho, golini anapaswa aanze Dean huyu yupo motivated sana na ana kiu ya kuji-prove wakati David kwa sasa anapambana kutuaminisha hajaisha, kulia Aaron arejee huyo Mensah akae benchi, kushoto Luke abaki, kati kati Harry na Eric yule mjinga Victor asikae hata bench, kiungo cha chini Nemanja arejee Scott akae bench, juu yake Bruno na Paul, na front 3 irejee ya siku zote Mason, Marcus na Anthony.
My lineup vs Brighton & Hove ; Dean Henderson , Aaron Wan Bissaka, Luke Shaw, Harry Maguire, Eric Bailly, Nemanja Matic, Bruno Fernandes, Paul Pogba, Mason Greenwood, Marcus Rashford na Anthony Martial.
Nimekumba Louis Van Gaal jamani ! naye alikuwa amezidi kukaa kwenye kiti chake yaani hata kama ma-n u imeshapigwa 4. Sasa naona kama vile ole naye ana tatizo hilo pamoja na upole mwingi
Kuna watu tunaposema kocha wetu hatufai bado hatujawa convince wanaona tumekuwa tukiongea pasipo facts, ukweli ni kwamba japo Ed na Glazers wake wanazingua ila our manager Mr Ole a.k.a baby face hana uwezo wa kufundisha man u kwa vigezo vichache tu vifuatavyo:Hapo kwenye coaching staff umehit penyewe.
Umemsahau msela wake na OLE, anaitwa Mark Dempsey.
Huyu walikuwa nae Molde. Wakaenda wote Cardiff city, then kaja nae Man U.
AWB,Fernandes,Maguire,James walianza poa sana,,lakini tukiwaangalia kadri siku zinavyokwenda wanazidi kupoteana..Kuna kitu Ole na Staff wenzake wanazingua kwenye training for sure..Kuna watu tunaposema kocha wetu hatufai bado hatujawa convince wanaona tumekuwa tukiongea pasipo facts, ukweli ni kwamba japo Ed na Glazers wake wanazingua ila our manager Mr Ole a.k.a baby face hana uwezo wa kufundisha man u kwa vigezo vichache tu vifuatavyo:
1. Timu haina fitness kabisa, ukiangalia mechi na palace wageni walionekana wapo physically fit kuliko cc.
2. Hana mbinu mbadala, ukimshika kwenye mfumo alioingia nao ushamaliza mchezo.
3. Flopping za wachezaji wageni wanapokuja kujoin tm yetu, mfano Daniel James alitoka na moto uko alipotoka kuja kwetu kiwango kimeisha, Maguire hvyo hvyo alipofika alikuwa moto wa kuotea mbali na kiukweli alisaidia hata kupunguza magoli but alipozoea tu mazoezi ya Ole kwisha habari yake, Bruno pia nae ni muhanga mkubwa wa tatizo hili alipofika alikuwa na mbinu bora alizotoka nazo Porto but alipozoea mazoezi ya utd kwisha habari yake, pia hata Bissaka n.k
4. Kuchelewa kufanya sub, utakuta mchezaji anafanya hovyo mpk mm nilie buza huku namuona ila kocha hafanyi sub kiasi cha kwamb mpk mchezaji anaighalimu timu ndo anamtoa.
5. Kocha co mkali, hana motisha kwa wachezaji, akikaa amekaa n.k,....
Yapo mengi ila niishie tu kusema tusitegemee makubwa toka kwa Ole.
Alex TellesView attachment 1580725
Ole ana shida sanaAWB,Fernandes,Maguire,James walianza poa sana,,lakini tukiwaangalia kadri siku zinavyokwenda wanazidi kupoteana..Kuna kitu Ole na Staff wenzake wanazingua kwenye training for sure..
Sema let's give it a time kidogo,tuone hawa wachezaji wataendeleaje
Msimu uliopita alikuwa na fixture inayofanana kama hii na watu walikufa...Spurs,City,Chelsea.Spurs, Chelsea, Arsenal, Everton
Katika hizi fixture Ole akitoka salama na aachiwe timu, ndani ya wiki 6 zijazo tutajua mbivu na mbichi.
Nilijua tu huna ubavu huo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Lindelof??...Nice move Ole,prove me wrong.
Niliahidi kutokuangalia mechi kama Lindelof ataanza lakini hili chama nalipenda sana,ngoja tu niangalie gemu
GGMU
Kikosi kizuri japo natamani Linderlof atoe tena boko awekwe benchi la milele.STARTING XI vs Brighton
De Gea
AWB__LINDELOF__MAGUIRE__SHAW
MATIC__POGBA
GREENWOOD__BRUNO__RASHFORD
MARTIAL
πππππKikosi kizuri japo natamani Linderlof atoe tena boko awekwe benchi la milele.