Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukichungulia mishahara ya manutd na ukalinganisha na Luton utasema huu ni wizi wa wazi

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mchezaji wao anayelipwa hela nyingi ni £13,000 kwa wiki.

Kiukweli ni ngumu kuelewa kitu wanachokifanya wachezaji wa Leeds au Everton au Wolves ni kipi kuwashinda wa Man. Utd kwenye mechi ndogo tu kama hizi.
 
Wachezaji wana lack of confidence tofauti na timu zingine
 
★Man of the Match kwangu ni ERIC BAILLY jamaa kanifurahisha sana hata kama tusinge shinda ningelala na furaha tu
Cha ajabu na chakushangaza na mtaniambia mechi ijayo ataanza Victor Lindelof na Eric Bailly atakuwa nje hapo ndio utajua ngozi nyeusi haina Bahati
 
Kocha hamna mule hata mbinu zake cjaziona wala nn tulicheza hovyo mpk walipoingia kina Bruno kwa uwezo wao binafsi ndo mpira ukabadilika, yeye yupo juu huko kaweka nne anajifanya introvert au co?
 
Huyu Bailly tumeongea mara nyingi kwamba anastahili kuanza sema naye tatizo lake majeruhi mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…