The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Umri co shida mkuu angalia mbn Bayern ina wavulana wengi na wako vizuri.Pamoja na umri wao lakini walikuwa bora kuliko hawa tulionao.
Wachezaji wengi tulionao ukiondoa Bruno siyo leader material wakati kikosi cha Ferguson ukiondoa Phil Jones na Lindergad wengine wote walikuwa leader material.
Kikosi chetu hakina Captain kina mvaa kitambaa tu.
Mwalimu hana ambition ya kuchukua mataji na timu nzima haina ambition ya kuchukua mataji.
Board haina ambition ya kuchukua mataji ndiyo maana mwalimu hapewi pressure ya kudeliver uwanjani.
Kikosi hakina wachezaji wenye ambition zao binafsi za kufika mbali hivyo huwezi kuona individual brilliance ikitamalaki uwanjani.
Kikosi chetu kimejaa wavulana kiumri, kiakili na kimwili unategemea wavulana wafanye vizuri ?
Kikosi cha Ferguson kilikuwa na wanaume hiki cha sasa ni wavulana how can you compare men with boys ??
Kwn Ferguson hakuwahi kufanya kazi na Ed?Man united inapungukiwa leadership kwa sasa hata tumrudishe Ferguson kwa uongozi wa Woodward hatuwezi kufika popote.
Toka tumetolewa na Sevilla kwa yaliyokuwa yanaendelea kwa wachezaji wa united nilitegemea wangeanza ligi vibaya.Pia wengine ni wazuri ila ni wapuuzi pengine ni kutokana na ubora mdogo wa kocha wachezaji km
Rashford
Martial
Linderlof.. huenda co wabaya isipokuwa kocha huenda hawezi kuwafanya waonekane ni killers, imefika kipindi hata pogba anaonekana hovyo kabisa.
Hujanielewa hiyo point yangu kasome tena.Umri co shida mkuu angalia mbn Bayern ina wavulana wengi na wako vizuri, angalia Ginabry wa Bayern na wa Arsenal, angalia Muller wa Pep na wa ss, angalia Alcantara wa barca na yule wa Bayern ni tofauti kutokana na jinsi gani kocha anawatumia.
Mbn ajax ilikuwa na watoto wengi msimu uliopita na ikasumbua? Tatizo ni kocha tu na sio kitu kingine.
Hapa ss tumeelewana mkuu kwamba tatizo ni kocha kwamba hana mbinu uwanjani, anawachezaji wengi lkn anawatumia wachezaji ambao ni unfit, anashindwa ku control tabia za wachezaji, simply hatufai.Toka tumetolewa na Sevilla kwa yaliyokuwa yanaendelea kwa wachezaji wa united nilitegemea wangeanza ligi vibaya.
Captain wa timu katoka jela kwa kupiga mtu na timu inaonekana kulichukulia poa tu wakati huyu mentally hayuko sawa sawa.
Greenwood katoka kugonga demu kambini unampeleka uwanjani kufanya nini wakati hayuko sawa sawa mentally.
Rashford katoka kwenye injury unampeleka uwanjani kufanya nini wakati hayuko vizuri physically.
Pogba katoka kwenye kuugua corona unampeleka uwanjani kufanya nini wakati corona inaweaken mwili?
Timu imefanya mazoezi siku tatu kabla ya mechi na Crystal Palace hivi ulitegemea kushinda mechi kama ile kwa Crystal Palace iliyofanya Preseason kwa wiki nne ?
Hata leo tunauwezekano mkubwa sana wa kufungwa na Brighton.
Nilijibu kutokana na paragraph yako ya mwisho.Hujanielewa hiyo point yangu kasome tena.
Kwamba unamhitaji Sancho kumfunga Crystal Palace? Smh.. Glazers na Ed wana matatizo yao ila kwa haya ya sasa Ole hakosi lawama!Napinga kwa nguvu zangu zote, mpaka povu lina nitoka.
Ole, anatolewa sadaka tu.
Tatizo lipo kwa Grazza family & Ed wood.
Ifike hatua tuseme ukweli tu, timu yetu tangu wakabidhiwe hawa Grazza family na upepo wa furaha kwa mashabiki ukapotelea hapo.
Fundi wa mpira Marcelo Bielsa yupo Leeds kule anapauka tu, alafu kuna kilaza fulani kisa ni Legends anavumiliwa pale OTKwamba unamhitaji Sancho kumfunga Crystal Palace? Smh.. Glazers na Ed wana matatizo yao ila kwa haya ya sasa Ole hakosi lawama!
YesKwn Ferguson hakuwahi kufanya kazi na Ed?
Kama wameshindwa kumsajili Sancho wamsajili Delle AlliIla mpira huu bwana we acha tuu! Mourino kumtaka Lingard mwenye goli 1 akiwa na umri wa miaka 27 msimu ulioisha EPL,,,, ila hana mpango na delle alli aliyemaliza na Magoli 8 + 4 assist . Sijui mashabiki wanajisikia kuletewa kilaza na kuondoa kipanga
Labda kuwapa bure hata timu za daraja la sita sidhani kama zinaweza kumsajili Phil Jones★Telegraph | United have an interest in Dayot Upamecano but United need to offload players first. Jones and Rojo are proving hard to sell.
Hawa akina JONES na ROJO wameenda kwa mganga hakuna team hata moja ilowaona [emoji23] wanafaa kweli dawa zipo hata kagera sugar haijaona kweli [emoji23]★
manutd |
Labda kuwapa bure hata timu za daraja la sita sidhani kama zinaweza kumsajili Phil Jones
Walikosea kuweka dau kubwa sana kwa Rojo last season wakati Everton wanamhitaji★[emoji23] hawa hata team ya kinondoni hawachukuliwi uongo zambi★
na hii ndo point mkuuKikosi kibovu hakijawahi kuchukua ubingwa ktk historia ya soka duniani, hapo nmefanya comparison ya vikosi na tukubali tukatae kikosi chetu cha ss ni kizuri sema tumekosa wa kuunganisha wachezaji na ndiyo maana hata aje nani pale utd ataonekana hovyo kwasababu kocha wetu bado.
ukweli ndo huu tusiwe washabiki kukwepa ukweliNimesoma maoni yenu wadau ila kwasasa pamoja na mapungufu ya ed woodward kwanza inapaswa OGS afukuzwe kazi, huyu kashindwa kuwapandisha viwango wachezaji tulionao, hana mbinu mbadala timu inapozidiwa, man utd haitaji world class player kuifunga crystal palace, man utd ni kubwa sana kwa OGS, kwanza hana maamuzi magumu, Last season De Gea kachoma sana kashindwa kumuweka benchi kwasababu ya jina,
Tunaitaji kocha ambaye Pogba au Rashford wakizingua wawekwe benchi, kocha mwenye sauti dressing room
Yule kocha wa Leeds anaitwa Marcelo Bielsa watu wanamchukulia poa ila bonge la kocha, very tectical,
Nina amini Bielsa ukimkabizi timu hii hii amtamini viwango vya wachezaj wetu vitakavyokua juu