The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ok so hakuna sehemu nimesema kikosi cha Ferguson kilikuwa kibovu c ndiyo? Nilichosema ni kwamba kikosi cha ss hata Ferguson hakuwa nacho, ss hapo nimekosea?Hebu soma hiyo paragraph yako ya kwanza
Unaposema kikosi cha sasa hata Ferguson hakuwa nacho unamaanisha nini ?Ok so hakuna sehemu nimesema kikosi cha Ferguson kilikuwa kibovu c ndiyo? Nilichosema ni kwamba kikosi cha ss hata Ferguson hakuwa nacho, ss hapo nimekosea?
Kikosi kibovu hakijawahi kuchukua ubingwa ktk historia ya soka duniani, hapo nmefanya comparison ya vikosi na tukubali tukatae kikosi chetu cha ss ni kizuri sema tumekosa wa kuunganisha wachezaji na ndiyo maana hata aje nani pale utd ataonekana hovyo kwasababu kocha wetu bado.Hebu soma hiyo paragraph yako ya kwanza
Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.Unaposema kikosi cha sasa hata Ferguson hakuwa nacho unamaanisha nini ?
Kwahiyo Ferguson zama zake za mwisho alikuwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa ?Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
Alikuwa na kikosi cha wazee au kilikuwa kibovu ?Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
Tatizo sio kumuuza Lukaku, bali ni kumuuza lukaku bila replacement mpaka leoNliwahi kusema humu humu kwamba kumuuza lukaku will prove to be a huge mistake mbeleni
Nafikiri tuachie hapa mana nimekuomba unioneshe sehemu nimesema kikosi kibovu hujanionesha, hv neno "kikosi kibovu" km ningeliamua kulitumia unadhani ningelishindwa? Kwa mfano pale man u ya ss japo tuna kikosi kizuri lkn bado tuna wachezaji wabovu pia na ni wengi wamejazana benchi kule na huwa nasema bila kupepesa macho.Alikuwa na kikosi cha wazee au kilikuwa kibovu ?
Tatizo ni kwamba hata baada ya Lukaku kuuzwa , hiyo pesa bodi wamebana hawataki kuitoa kuziba hilo pengoNi kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.
Bodi ya arsenal walishakubaliana AMN auzwe ila kocha akasema laa. Lukaku kumuondoa ilikuwa ni kosa kubwa sana
Hapa napo umerudia kuwa Ferguson alikuwa na squad mbovu kuliko sasa hivi unataka nionyeshe nini wakati wewe mwenyewe umesema.Namaanisha ni kikosi kzr kuliko alichokuwa nacho Ferguson zama zake za mwisho, kwn nani asiyejua kwamba Ferguson alikuwa na kikosi chenye wazee wengi? Hakikuwa kikosi kibovu kilikuwa na majina mengi isipokuwa average ya umri wao ilikuwa kubwa na wengi walionekana wameanza kuchoka but kocha aliwaunganisha vzr lkn pia bahati kwake hakukuwa na ushindani mkubwa km ilivyo sasa, cz kikosi kile kisingeweza kupambana na Liverpool au City za ss huo ndiyo ukweli.
Kwahiyo umeondoa hoja yako kuwa hii squad ni Bora?Pia wengine ni wazuri ila ni wapuuzi pengine ni kutokana na ubora mdogo wa kocha wachezaji km
Rashford
Martial
Linderlof.. huenda co wabaya isipokuwa kocha huenda hawezi kuwafanya waonekane ni killers, imefika kipindi hata pogba anaonekana hovyo kabisa.
Mmebaki na historia tu kaka hahahahahaArsenal hamna cha kuishauri Man united mkuu.
Tunakila kitu sana sana nyinyi ndiyo mnapaswa kuomba ushauri kutoka kwetu
Historia ambayo hamuwezi kuifikia mkuu hahahahMmebaki na historia tu kaka hahahahaha
Heheheheheeee unajua mkuu nakuheshimu ila unataka nianze kujiuliza, hicho kikosi unachokitaja nimekwambia hakikuwa kibovu isipokuwa wachezaji wengi walikuwa ktk zama zao za mwisho mwisho, angalia umri wao af angalia umri wa ss, hicho kikosi ulichokitaja ww hapo km utaangalia majina ni makubwa kuliko hata kikosi cha ss cha Liverpool, je unataka kutuaminisha kwamba kikosi hicho kilikuwa bora kuliko cha Liverpool cha ss?Hapa napo umerudia kuwa Ferguson alikuwa na squad mbovu kuliko sasa hivi unataka nionyeshe nini wakati wewe mwenyewe umesema.
Hivi striking force ya
Van Persie, Wayne Rooney, Chicharito na Dany Welbeck ni mbovu kuliko striking force ya Rashford, Martial, Greenwood na Ighalo ?
Je defence force ya
Nemanja Vidic, Rio Ferdinand, Chris Smalling Patrice Evra, Rafael Da Silva na Fabio Da Silva iko sawa na hii ya kina Lindelof, Maguire na mgonjwa Bailly ?
Kwenye midfield ya
Darren Fletcher, Paul Scholes, Ryan Giggs, Antonio Valencia, Shinji Kagawa, Michael Carrick, Jisung Park utalinganisha na hii midfield ambayo ikipiga pass mbili lazima ipoteze mpira ?
Kikosi cha sasa ni kizuri kwenye makaratasi tu ila ni kibovu kuanziaHeheheheheeee unajua mkuu nakuheshimu ila unataka nianze kujiuliza, hicho kikosi unachokitaja nimekwambia hakikuwa kibovu isipokuwa wachezaji wengi walikuwa ktk zama zao za mwisho mwisho, angalia umri wao af angalia umri wa ss, hicho kikosi ulichokitaja ww hapo km utaangalia majina ni makubwa kuliko hata kikosi cha ss cha Liverpool, je unataka kutuaminisha kwamba kikosi hicho kilikuwa bora kuliko cha Liverpool cha ss?
Unafananisha ubora wa Ferdinand, Evra, Vidic na hawa wa ss, ukweli ni kwamba hao walicheza katika ubora wa hali ya juu sn enzi zao lkn kumbuka comment yng nilisema zama za mwisho mwisho za Ferguson hao walikuwa hawana ubora wao tuliouzoea walikuwa wameshaanza kulega lega na ndiyo maana cku ile pale Wembley tuliishia kuaibishwa na km isingekuwa huruma ya barca tungepigwa hata 8.
Kikosi cha ss co kibovu, huwezi kuniambia eti Maguire mbovu, Linderlof mbovu, Pobga mbovu, isipokuwa kocha ndiyo hatoshi hebu angalia hk kikosi ni kweli kilikuwa kina majina makubwa mengi lkn mbn baada ya Ferguson kuondoka wengi hawakudumuView attachment 1576967
Sawa mkuu ila kocha ni tatizo, nadhani kikosi hiki km atapewa babu mwenyewe SAF ndo utajua kwamba kocha ni mtu muhimu sana katika tasnia ya mpira wa miguu.Kikosi cha sasa ni kizuri kwenye makaratasi tu ila ni kibovu kuanzia
Miguuni mpaka kichwani.
Pamoja na umri wao lakini walikuwa bora kuliko hawa tulionao.Heheheheheeee unajua mkuu nakuheshimu ila unataka nianze kujiuliza, hicho kikosi unachokitaja nimekwambia hakikuwa kibovu isipokuwa wachezaji wengi walikuwa ktk zama zao za mwisho mwisho, angalia umri wao af angalia umri wa ss, hicho kikosi ulichokitaja ww hapo km utaangalia majina ni makubwa kuliko hata kikosi cha ss cha Liverpool, je unataka kutuaminisha kwamba kikosi hicho kilikuwa bora kuliko cha Liverpool cha ss?
Unafananisha ubora wa Ferdinand, Evra, Vidic na hawa wa ss, ukweli ni kwamba hao walicheza katika ubora wa hali ya juu sn enzi zao lkn kumbuka comment yng nilisema zama za mwisho mwisho za Ferguson hao walikuwa hawana ubora wao tuliouzoea walikuwa wameshaanza kulega lega na ndiyo maana cku ile pale Wembley tuliishia kuaibishwa na km isingekuwa huruma ya barca tungepigwa hata 8.
Kikosi cha ss co kibovu, huwezi kuniambia eti Maguire mbovu, Linderlof mbovu, Pobga mbovu, isipokuwa kocha ndiyo hatoshi hebu angalia hk kikosi ni kweli kilikuwa kina majina makubwa mengi lkn mbn baada ya Ferguson kuondoka wengi hawakudumuView attachment 1576967
Man united inapungukiwa leadership kwa sasa hata tumrudishe Ferguson kwa uongozi wa Woodward hatuwezi kufika popote.Sawa mkuu ila kocha ni tatizo, nadhani kikosi hiki km atapewa babu mwenyewe SAF ndo utajua kwamba kocha ni mtu muhimu sana katika tasnia ya mpira wa miguu.