Kila siku tunasema humu, timu yetu haina mfungaji wa uhakika.
Matial & Rash food hawa ni mawinga tu mbele ya wafungaji kama Haaland.
Timu inatatizo la mfungaji.
Nimeumia sana.
Pumbavu.
Kwani nimekwambia nataka kuhama timu, mpaka unichagulie Arsenal?
Me nitabaki kua Man united, mpaka mwisho wa maisha yangu.
Ila sio siri naumia sana.