Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The last time Manchester United lost their opening Premier League match by at least two goals was in 1995-96, when they lost 3-1 at Aston Villa.

They went on to win the title.
Hivi bado mnafikiriaga kushinda epl siku hizi? Nyie watu mna utani sana. Sio kwa kikundi hiki maana sio kikosi hata.
 
Hahahaha aseee! Nacheka kweli.
Kwenye ushindani kinachomatter ni ushindi.

Ndicho ambacho kitaongelewa hapa.

Lakini Man U kadominate game nzima.

Possession ni 75 kwa 25.

Last time timu kua dominated na kushinda ni UCL. Man City na Lyon, na matokeo yalikua 3 kwa 1 hivi hivi.

So mwisho wa yote gemu ya leo ilikua ni 'better technics win' Man U hawana striker yet wakataka wacheze kwa mtindo huo.

Palace walijua hawana quality player pale kati so wakarely kwenye counter and it paid.

Kuchukua point 3 toka kwa Southampton na zingine toka kwa Man U siyo jambo dogo kwa level yao tena bila kusajili. Wanastahili pongezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…