OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Haha huku tumemaliza salama na sasa tunapeleka msiba emirates, haha adui muombe njaa kwa kweli hakuna namnaππππHii mechi mlikuwa mnachezea goli 5 ila watoto wamekosa umakini.
Sio mbaya bado kuna mechi 37.
πππ
Naskia kachomoa zoteVan De Beek[emoji91][emoji91][emoji91]
Kesho utachezea kipigo timu haunaAha msiba utaahamia kwenu mida siyo mrefu.
Mimi nina hamu na game yenu na Liva kuliko game yangu na West HamAha msiba utaahamia kwenu mida siyo mrefu.
ruralofficer,
Mbona upo hasi sana? Binafsi naamini msimu huu tuna uwezo mkubwa sana wa kubeba kombe. Tunza hii comment yangu.