Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa itoshe kusema hatuna kocha ila siyo mbaya pochetino bado yupo benchi.Ole uwezo mdgo ki mbinu.arteta anaonekana anaproject anatengeneza
 
Goli la 3 linafungwa.

Lindelof anakaba.

Maguire yuko mbele anatazamana na Zaha.

Kisha akawa amedhania Zaha ataendelea kudribble.

So akawa kama ameanza kutangulia mbele.

Kisha Zaha akashuti huku Maguire akiwa katika stance ya kutaka kukimbia.

Ila lawam zitakuja kwa? Lindelof.

Kwanini? Kwasababu hana watetezi wanaouhusudu uraia wa Maguire.

Unajua mchezaji akiwa booed sana mwisho anakua hivyo anavyolaumiwa. Rodriguez wa Madrid, Xhaka wa Emery, Coutinho wa Barcelona, Lukaku wa Man U n.k. Lindelof hajawahi kua beki wa hovyo ila hizi booing na kudai Maguire ni bora mno kucheza naye zinamshusha Morali.

Ila kama kawaida mwisho wa yote victim hua ni kocha.

Hii timu haina striker. Na haina mpango wa kusajili transfer ambazo ipo linked nazo ni mabeki, mawinga na viungo tu.

Anyway, kazi ni kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…