Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Hha hah wamezoea hao mpka miaka 2034 ndio kuja kufanya vzrDaaah
Hii timu wasipoachana na Ole hata wamlete Messi,Ronaldo hamna kitu.Ila Man u ni taka takaaa,
Anasubiri Mashalli ajiangushe kwenye bosi akapige penaltiBruuum fenabache hayupo???
Anasubiri mshinde😂😂😂😂ARV bado hajatia timu hapa?