Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu hizo tetesi za mshahara zimeanzia huko huko kwao, hata kwa lvl za woodward hawezi mlipa bale 600k,

na mimi sijawahi kuwa against usajili wa winga wa kulia, mashabiki wengi pia wa man U wanalalamikia hili miaka na miaka.
 
Waingereza ni wapumbavu.

Tetesi za Bale zimeniharibia weekend.
 
Bale hakuna kitu chief.

Yani hapo bora hata Sanchez.

Madrid wakae na mzigo wao mpaka mkataba uishe.

Akikanyaga tu Man Utd, utashangaa anaongezewa mikataba kama Jones.

Uchafu upo mwingi Utd, hatujafanikiwa kuutoa. Tusiongeze mwingine.
 
Hapa ukiuliza bei utaambiwa si chini ya £200M.

Waingereza wanadhani wao ndo wanajua mpira peke yao..
 
Sio kwamba ni deal zuri kwetu? Wangeeka buy back clause kwamba siku yoyote wakimtaka wanamchukua huoni wanatufanya kama Academy yao tu?
 
Sio kwamba ni deal zuri kwetu? Wangeeka buy back clause kwamba siku yoyote wakimtaka wanamchukua huoni wanatufanya kama Academy yao tu?
Hili dili lilikuwa zuri angekuja angetusaidia japo kwa msimu mmoja, halafu unamnunua kwa €30 then wakimtaka wanamrudisha kwa around €40/45. Tayari hapo unarudisha japo expenses ulizotumia kumuweka kikosini ndani ya msimu.

Na wasipomtaka tayari ume-win japokuwa naamini akiwa katika kiwango kizuri lazima Madrid watarudi kwenye mkataba.
 
Kwa hio mkuu tumkuze mchezaji ili baadae madrid wamchukue? Kuna Full back wangapi duniani wazuri?

Sio kwamba tupo desperate tunataka LB, tunataka tu mtu wa depth incase luke shaw ataumia ama wing back ikiwa Shaw atacheza back 3.

Kuna Telles pia tupo linked nae 18m.
 
Kwa mtazamo wangu naona lilikuwa dili zuri (for short term goals)

Telles pia ni option nzuri sana nahisi ni muda wa United kufanya maamuzi baada ya kumkosa Reguilón.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…