D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ndio jambo muhimu zaidi tunalolihitaji kwa sasa, hata kama itatokezea kundi la wachezaji muhimu hawapo kwenye kikosi basi isiwe sababu ya team kucheza mpira usioeleweka.Hakika tunapaswa kujenga timu katika philosophy inayoeleweka wakati mwingine Solkjaer sijui anabahatisha bahatisha vile.
Kwa sasa timu yetu akikosekana mchezaji mmoja tu kwenye midfield tunapoteana.ndio jambo muhimu zaidi tunalolihitaji kwa sasa, hata kama itatokezea kundi la wachezaji muhimu hawapo kwenye kikosi basi isiwe sababu ya team kucheza mpira usioeleweka.
aston villa walimiliki mpira vizuri sana hapo juzi, ukija kwetu ni utopolo mtupu
gareth bale...watasaidiana kulipa mshahara kwa asilimia 50Who else should they look to sign?
swadakta.. ulimuona james rodriguez na wenzake wawili pale kati?Kwa sasa timu yetu akikosekana mchezaji mmoja tu kwenye midfield tunapoteana.
Kucheza ujinga kama ule na Aston Villa japo ni friendly match ni ishara mbaya kwa mechi zijazo za ligi
Jana sikubahatika kuangalia mechi ya Tottenham na Everton ila matokeo hayakunishangaza kwa Tottenham kufungwa.swadakta.. ulimuona james rodriguez na wenzake wawili pale kati?
Rashford gemu ya Villa si alicheza?Hahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.
Toka tumerudi kutoa EUROPA sioni timu kama imefanya hata mazoezi walau kidogo.
Story zinazozunguka nyingi ni za hovyo hovyo mara Maguire kafungwa jela, Greenwood kaingiza demu kambini, Lindelof kakaba mwizi mtaani.
Juzi na Aston Villa wachezaji wetu naona fitness haipo kabisa tunaenda kucheza na Crystal Palace ambaye ameshaonja ushindi dhidi ya United msimu uliopita.
Wachezaji wetu wengi huenda wasiwepo mechi yetu na crystal palace Rashford ni majeruhi, Pogba hajulikani alipo, Bruno yuko analea mgeni huko Ureno, Martial ndiyo kwanza anakula fungate ya kuitwa tena katika kikosi cha ufaransa.
Ngoja tuone itakuwaje
Rashford gemu ya Villa si alicheza?
bila ya kumsahau daniel james★alikuwepo Rashid makame kama kawaida yake utoto utoto kwenye Box★
gareth bale...watasaidiana kulipa mshahara kwa asilimia 50
real madrid watalipa nusu ya mshahara wake★Watasaidiana na nani mkuu??? Afu huyu Gareth Bale atakuwa ghari sana me naona hapa KINGSLEY COMAN anatosha★
bila ya kumsahau daniel james
real madrid watalipa nusu ya mshahara wake
real madrid wamechoshwa na gareth bale na bado ana mkataba wa gharama (kama itatokezea timu inamuhitaji japo kwa mkopo huenda watakuja na hoja ya kusaidiana gharama za usajili)★Ndio mkataba unavyosema kumbe??★
ukicheza utopolo ujiandae na bakora★Ndio maana nikionaga wachezaji wanacheza utoto utoto nakumbuka enzi za shule O-Level na Advance mkicheza upuuzi mjiandae na Collaboration ya walimu wote mtaacha tu ujinga ujinga Pitch★
Daniel James alijitahidi kutoa cross nyingi nzuribila ya kumsahau daniel james
Sanchez bado hajauzwa na tunaongeza mzigo mwingine wa Gareth Bale ?real madrid wamechoshwa na gareth bale na bado ana mkataba wa gharama (kama itatokezea timu inamuhitaji japo kwa mkopo huenda watakuja na hoja ya kusaidiana gharama za usajili)
kama ilivyokuwa dili la sanchez kati ya man utd na inter milan
Kwahy baada ya kumuondoa Sanchezreal madrid wamechoshwa na gareth bale na bado ana mkataba wa gharama (kama itatokezea timu inamuhitaji japo kwa mkopo huenda watakuja na hoja ya kusaidiana gharama za usajili)
kama ilivyokuwa dili la sanchez kati ya man utd na inter milan