Manchester United (Red Devils) | Special Thread

For professionalism case na as far as his brand is concern kama anataka kuipaisha brand yake anatakiwa kujiheshimu, kisingizio cha umri kwa mtu anayetegemea kuja kuwa Legend haipo kabisa
Chukua mfano wa Beckham amemaintain consistence ya kucheza vizuri na tabia nzuri juu mpaka alipostahafu mpira. Nakumbuka demu wake tu ndio alikuwa na vituko tuko mtaani lakini Beckham was very brilliant both in the pitch and in the street. Fuatilia wachezaji wote wanaoanza na vituko tuko wakiwa wadogo hawaendi mbali
Naomba niseme hata kama kuwa na demu ni haki yake lakini kitaaluma hao hao mademu ndio watakaomaliza mpira wake na kuja kuwa fukara wa kawaida kama akina Drinkwater na Ross Barkley wa Chelsea, mara leo wako fit mara kesho wamechoka ile mbaya kwa sababu ya ulevi na mademu.
Greenwood akitaka kujenga brand yake na kuja kuwa Legend lazima ajinyime raha za dunia, lazima ajitunzew, aweke mbele zaidi mazoezi na lishe kama anavyoagizwa na mkufunzi wake, daktari wake. Hakuna shortcut hapo
Wachezaji wengi wa Uingereza wanapenda sana starehe za mademu ndio maana wanachokaga mapema sana. Akajifunze kwa akina Steve Gerrald, Frank Lampard, David Beckham, na wengine wengi malegend wa kiingereza
 
Gaza
G. Best
 
Shukran sana mkuu umenijibia vzr sn.
 
Mkuu nimekupa option za kucheza pamoja,,ila pogba anacheza chini kidogo..
Pogba,,VDB,na Fernandez.
Huyo VDB amenunuliwa wacheze kwapamoja,,na sio kumchesesha na akina Fred,,
Ole anataka magoli zaidi..
Katika formation zote za mpira pamoja na mabadiliko makubwa sana wa tactics uwanjani eneo pekee ambalo haijawahi kuwa disturbed ni kwenye defensive midfield.


Mifumo yote tunayocheza lazima kuwe kuna defensive midfield na mara nyingi lazima awe typical defensive midfielder.

CM anaweza akacheza mtu yeyote ila kwenye defensive Midfield lazima mchezaji awe na attribute mbili na kuu iwe ni defending and reading the game.

Hao wachezaji watatu hapo juu wana attribute ya kusoma mchezo ila kwenye defense hawako vizuri sana
 
lembu

Wayne Rooney, Kareem Benzema, Ronaldinho Gaucho hawa wote waliwahi kuwa na kashfa ya ngono na makahaba lakini kila mtu anafahamu walichokifanya ktk soka hata David Beckham uliyemtaja hapo juu wamemzidi ktk mafanikio ya career zao. Wamebeba makombe mengi sana ktk career zao na kuweka rekodi kubwa sana ila mwanzo walionyesha tabia za hovyo kabisa.​

Siwatetei Mason Greenwood na Phil Foden, ila ni lazima utambue ktk umri walio nao kuna vitu vingi sana vya kijinga kijana yeyote yule aliyefanikiwa sana ktk umri huo unaweza kuvifanya hasa hasa mafanikio yako yanapo ambatana na pesa na umaarufu. Hawa wengine hatujui ujinga wao ni kwa sababu tu hawakamatwi, ila kama tungeweza kufahamu upuuzi wa kila mchezaji labda hawa ni wema zaidi kuliko yaliyojificha nyuma ya wengine ambao hawakamatwi.​

Nimesema hapo juu mwanzo wachezaji wengi (zaidi ya 99%) wanatoka familia zenye kipato cha kawaida kabisa yaani ktk humble background (working class or lower middle class families) ukitoboa unaposaini your first professional contract una-probability kubwa sana ya ku-compesate lifesytle uliyoikosa mwanzo na unakuwa unaamini ndivyo mtu aliyetoboa anapaswa kuishi. Pona pona pekee ni kwa watu wanaotoka kwenye familia zenye utajiri mkubwa kabla hata ya wao kuzaliwa mtu kama Andrea Pirlo, ambao ni wachache sana (less than 1%).​
 
Rooney alikuwa mkorofi tu lakini tukumbuke Christiano na Rooney walikuwa kwenye malezi ya kifaza sana ya Sir Alex Ferguson na David Gill hata timu ilikuwa kwenye mstari kila mchezaji.

Achilia mbali malezi ya kocha senior players walikuwa serious sana na timu mchezaji asingefanya ushenzi mbele ya Roy Keane, Paul Scholes, Rio Ferdinand au Edwin hivyo seriousness ya timu ilikuwa inawafanya na wenyewe wawe serious.

Kuna mechi moja Rio Ferdinand alimbwatukia Phil Jones baada ya kufanya careless mistake sikumuona tena akianguka anguka hovyo uwanjani.

Leo hii timu haina watu wa kumshape mchezaji kuwa na tabia nzuri imagine mchezaji mdogo atajifunza nini kwa mtu kama Lingard, Pogba, Bissaka, De Gea au Shaw?

Imagine mchezaji atajifunza nini kwa Harry Maguire zaidi ya kujifunza namna ya kuishi jela vizuri ?

Atleast Juan Mata lakini hana influence kwenye kikosi hivyo hawezi akasaidia wachezaji wadogo kuwa na tabia nzuri.

Ukija kwenye benchi la Ufundi the only serious person ni Mike Phelan tu Ole anawalea wachezaji wake kama Roommates watajifunza nini au atawafunza nini wakati wanamuona kama msela wao tu ?

Time has changed suala la nidhamu ni muhimu sana lakini yote kwa yote wa kulaumiwa kwenye ile kambi ya timu ya Uingereza ni Gareth Southgate na benchi lake kuwatelekeza watoto wa watu mwisho wapate gono na ukimwi.
 
Usiwe na mawazo finyu kiasi hiko kosa hapo ni moja tu la kuinteract na watu hasa kipindi hiki cha mlipuko ila kuhusu papuchi wala isingekuwa ishu kwani nani kakwambia akito..mba ndo awezi kuperform
 
Mkuu ktk kila kila jambo wapo watu ambao huenda kinyume na matarajio ya wengi yn unakuta semi za wahenga zinasema hv ila wao wanaenda kinyume na wanafanikiwa ku break the laws, hao wanaitwa exceptionals ni wachache sana watu hao cz mnayoyatarajia dhidi yao kutokana na tabia zao haiwi hvyo but the rest ni lazima ku adhere to the rules if u want saccess.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…