Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna ushabiki na kuna utoto , kama hapa unataka malumbano uchafue thread za watu, washindwe kujadili timu yaoUzuri mmoja mimi huwa sinaga tempah za kumind[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuishi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua watu wengi hawajui ushabiki..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dah, hii jezi hapana kwa kweli
Ukiambiwa unakimbilia nimepanic , Endelea na utoto uone kama huyo jamaa hapo juu atakutafutia mchongo[emoji23][emoji23][emoji23]Connection tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angalia sasa ulivyo panic..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahaha aise dah tuseme umeshinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiambiwa unakimbilia nimepanic , Endelea na utoto uone kama huyo jamaa hapo juu atakutafutia mchongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha wee jamaa bhana.Kuna ushabiki na kuna utoto , kama hapa unataka malumbano uchafue thread za watu, washindwe kujadili timu yao
Sasa huo utoto ndio mtu anashindwa hata kukutafutia mchongo
Mm.nakukumbusha tu, kuna muda unaweka utoto pembeni, Mimi nishapata michongo humu humu [emoji23][emoji23]Hahaha aise dah tuseme umeshinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe Leo unasema huna shida na kaz ,shauri yako jifanye nunda ,Hahaha wee jamaa bhana.
Mimi sina shida na kazi bhana ..niko hapa ku enjoy life.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aha vizuri sana mkuu kwa kupata kazi.[emoji3][emoji3][emoji3]Mm.nakukumbusha tu, kuna muda unaweka utoto pembeni, Mimi nishapata michongo humu humu [emoji23][emoji23]
Sawa brother japo saiv nna kazi ila kuna kama connection fresh[emoji1666][emoji1666]Wewe Leo unasema huna shida na kaz ,shauri yako jifanye nunda ,
Andika CV fasta, kisha nitumie PM.Aha vizuri sana mkuu kwa kupata kazi.[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahahaaa Dah ajira kweli noma kijana wa watu kaogopa maskini [emoji3][emoji3][emoji3]Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Ukiendelea na mdomo wako hupati kazi
Mkuu vipi nami nikucheki PM?Andika CV fasta, kisha nitumie PM.
Eti kaogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa Dah ajira kweli noma kijana wa watu kaogopa maskini [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa mpole mkuu.Ollachuga & Aron, munazingua.
Kama vipi nendeni mkacheze mnako chezaga.
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa namuelekeza aache utoto atakosa michongoOllachuga & Aron, munazingua.
Kama vipi nendeni mkacheze mnako chezaga.
Mashabiki wa Arsenal na chelsea humu JF kama vitoto vya primary school..Yaani sasa hivi, mashabiki wa arsenal na chelsea hapa JF, wamekuwa kama vihiyo flani hivi. Kwenye majukwaa yao wanatukanana kama watoto. Kisa mmoja wapo kasajili sana na hapo ligi haijaanza; na mwingine kaokota vikombe viwili, kikombe kimoja wapo ni kisahani cha ubwabwa (community shield) na kikombe kingine kama kopo la bafuni (fa cup). Wakimaliza fujo zao huko ndiyo nawaona wanakuja huku jukwaa letu, hawataki kuongelea mpira, wanaomba ajira. Ni full kachumbari.
Hivi Steve Macmanaman alikuwa Mwingereza ?Hapo mkuu Bavaria kaenda mbali sana.
Sio kweli waingereza hawakipigi, wapo wengi na walikua wengi wakali.
Mf.
Scholes
Macmanaman
Gerard.
Tukisema tuwataje tutajaza ukrasa nzaima.