The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Dalot yuko vzr mkuu cjui kwnn Ole asimpe mda, kuhusu lingard huyo tunahesabu ameshastaafu.Smalling, Phil jones na Rojo washawekwa sokoni kuuzwa ila Smalling anatakiwa na Roma huku Marcos Rojo Lazio inamtaka pia.,,,,
Diogo Dalot hauzwi maana Bisaka akiumia yeye ndiye replacement yake na hakuna mwingine. Kwa upande wa lingard sidhani kama atauzwa huyo atazeekea hapo OT.
Ni wa kawaida tu kama Brandon William'sTransfer Guru Fabrizio Romano just confirmed on his Twitter what all United fans had heard already or were waiting to hear – Sergio Reguilon has been offered to the Red Devils.
The 23-year-old left-back, who is desired by many other top European clubs like Spurs, Napoli, Sevilla etc, is obviously looking for a home away from Real Madrid. Los Blancos would like a fee of €30 million for the Spanish youngster or could also send him out on loan again.
Reports yesterday stated that United had submitted an official bid for Reguilon and that Real Madrid would make a decision on his future in the coming week – Fabrizio Romano all but confirms the same.
Ila sijaingia huko Twitter kuona account yake. Na huyu dogo Mimi sina experience nae labda niingie YouTube
Aaah, United tunataka alimradi aletwe mtu kwenye eneo tunalotaka no matter kiwango. Watupe MarceloNi wa kawaida tu kama Brandon William's
PTER,
Ile nafasi ya Luke Shaw inapaswa iwe- fixed tu. Luke amecheza misimu sita Manchester United, ktk mechi za ligi kuu 228 (38 * 6) alizopaswa kucheza amecheza mechi 96 tu, ni sawa na 42% yaani ktk kila mechi 10 huyu jamaa anaweza kucheza mechi 4 tu, ni sawa na wewe uwe na mfanyakazi ktk kampuni yako ktk siku 5 za kazi yeye ana uwezo wa kuja siku 2 tu siku zingine zote 3 anaumwa halafu analamba mshahara ule ule kama mtu anayefika siku zote 5.
Mshahara anaopokea kwa wiki ni zaidi ya pound 150k, unafahamu mabeki wangapi wa kushoto tunaoweza kuwapata kwa pungufu ya huu mshahara? na wana uwezo kumzidi huyu chalii. Kwangu mimi as long as tunapata beki wa kushoto mwenye uwezo wa kucheza atleast zaidi ya mechi 8 kati ya 10 na mwenye uwezo hata kwa kiwango kidogo kumzidi Luke aje tu. Huyu Luke analipwa pesa ya bure tu ni injury prone.
Yaani nakereka sana kuona bado tupo na kina;Jamani mbona watu wanajilinganisha na Chelsea ktk usajili? Wale walikuwa na mapungufu mengi sana tena bado wanahitaji zaidi kusajili kama kweli wanataka kushindana zaidi. Golini bado wanapwaya sana pia hata beki wa kati bado pana uchochoro pia. Kilichofanya sisi tukimbizane nao ktk safari ya top 4 msimu uliopita ni majeraha tu ya wachezaji wetu muhimu.
Kwetu sisi kimantiki tulihitaji zaidi watu watatu tu, beki wa kati kuongeza nguvu pale tuna mabeki wawili tu active (Harry na Victor, Eric huwa anapata majeraha mara kwa mara), kiungo wa kati kuja kuongeza nguvu kwa Bruno na Paul hapa tayari tumemaliza Donny kawasili na mwisho ni mshambuliaji hapa haijalishi awe mtu wa mwisho au atokee pembeni upande wowote ule ila tunahitaji mtu anayefunga na mwenye uwezo wa kutengeneza magoli awe regular starter wa kuja kuongeza nguvu.
So far, sisi tunahitaji wachezaji wawili tu (tayari kiungo tumemaliza) ila kama tuna chance kusajili zaidi ya hapo it's okay. Kujaza wachezaji wengi wapya kwa wakati mmoja kuna muda ni hatari sana mnakuwa mnaanza upya kujenga timu. Napenda nione tukisafisha nyumba zaidi kuna wajinga wengi sana hatuwahitaji pale kuanzia Chris Smalling, Phil Jones, Jesse Lingard, Andreas Perreira na Marcos Rojo.
Heri kumkuza Brandon William's kuliko huyo Reguillon kwanza kashindwa kupata namba Real Madrid atapata namba kwenye timu yenye pressure kubwa kama united?Aaah, United tunataka alimradi aletwe mtu kwenye eneo tunalotaka no matter kiwango. Watupe Marcelo
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Replacement ya Luke Shaw ni Brandon William's anachopaswa kufanya training kwenye crossing na kudefend vizuri timu inapokuwa na pressure kubwaPTER,
Ile nafasi ya Luke Shaw inapaswa iwe- fixed tu. Luke amecheza misimu sita Manchester United, ktk mechi za ligi kuu 228 (38 * 6) alizopaswa kucheza amecheza mechi 96 tu, ni sawa na 42% yaani ktk kila mechi 10 huyu jamaa anaweza kucheza mechi 4 tu, ni sawa na wewe uwe na mfanyakazi ktk kampuni yako ktk siku 5 za kazi yeye ana uwezo wa kuja siku 2 tu siku zingine zote 3 anaumwa halafu analamba mshahara ule ule kama mtu anayefika siku zote 5.
Mshahara anaopokea kwa wiki ni zaidi ya pound 150k, unafahamu mabeki wangapi wa kushoto tunaoweza kuwapata kwa pungufu ya huu mshahara? na wana uwezo kumzidi huyu chalii. Kwangu mimi as long as tunapata beki wa kushoto mwenye uwezo wa kucheza atleast zaidi ya mechi 8 kati ya 10 na mwenye uwezo hata kwa kiwango kidogo kumzidi Luke aje tu. Huyu Luke analipwa pesa ya bure tu ni injury prone.
Mkuu hujuwi kama mchezaji wa bench kwa timu kama real Madrid ,,,Manchester anacheza first eleven?tena hakuna wa kumweka benchi?Heri kumkuza Brandon William's kuliko huyo Reguillon kwanza kashindwa kupata namba Real Madrid atapata namba kwenye timu yenye pressure kubwa kama united?
Kumsajili ni gambling tu kama gambling zingine hana tofauti yoyote na Brandoni unaweza sema Brandon ni mzuri zaidi defensively.
Nakubishia. Usiichukulie man utd ki spot hivyo. Machezaji mengi hasa makinda ni magarasa pale madrid, kinachowasaidia madrid ni kocha ambaye ana ubunifu na hesabu kali. Zizzou muone hivyo hivyo, bonge la kocha yule jamaaMkuu hujuwi kama mchezaji wa bench kwa timu kama real Madrid ,,,Manchester anacheza first eleven?tena hakuna wa kumweka benchi?
Madrid ni timu ya wachezaji nyota,,sio wachezaji wa hovyo hovyo,,
Yule Dogo reguilon yupo powa sn,,
Siku zote ukiona mtu yupo Madrid elewa ana jambo lake,,sio mchezaji wa mchezo mchezo..
Mkuu hyo Dogo ni mkali sn,na alikuwa kikwazo kikubwa ktk defence ya Valencia,,, tulipokutana nao nusu fainal europa,,Nakubishia. Usiichukulie man utd ki spot hivyo. Machezaji mengi hasa makinda ni magarasa pale madrid, kinachowasaidia madrid ni kocha ambaye ana ubunifu na hesabu kali. Zizzou muone hivyo hivyo, bonge la kocha yule jamaa