Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani ni kitu cha ajabu kiungo kuibeba timu?

Tusim-undermine sana mchezaji mmoja ili tumpaishe mwingine..Martial pia mchango wako tokea January regardless ya ujio ya BF bado ni lazima tuu-recognize hata kama haukufika level tunazotaka
 
Mbona sioni tukisafisha nyumba? Chris Smalling, Phil Jones, Andreas Perreira, Marcos Rojo, Jesse Lingard na Juan Mata (huyu anaonekanahayupo ktk mipango ya Ole) hawa wote hapaswi kuwepo tunahitaji kuwa na watu tutakao watumia tu.
Naamini safisha safisha pia inasaidia kujenga timu zaidi..kukaa na hawa wachovu ni kuendelea kupata laana tu

Ole afanye mambo
 
Mkuu point ni kwamba ,,martial anacheza wide sana,,,ndy anakuwa free sana kukimbiza na kufanya atakacho,,,akiwa kama striker anakuwa anashindwa kufanya vitu Vingi sana pale mbele,,morinho alikuwa sahihi kabisa kumpeleka martial pembeni na kumweka ibra pale no 9..tunahitaji striker aina ya aina Diego Costa,,
Man u sawa tunafunga lakini tunahangaika sn kufunga,,na siku tukikutana na vitimu vidogo vikimbana martial,, na Fernandez siku hyo magoli hakuna tena,,
Liver wana firmino,,salaa,mane,,ni kweli wametofautiana magoli kidogo na wetu ufungaji ila hao wanafunga kila siku,,
Hawa wa kweli inategemea siku hiyo wamekutana na timu gani,,,
Liver poor imeshinda mechi nyingi,,man u draw ni nyingi...sasa angalia utofauti hapo,,,maana yake safu yetu ya shambuliaji haifungi magoli ya kutosha..kutupa ushindi,,ndy maana liver akabeba kombe,,
 
Mbona sioni tukisafisha nyumba? Chris Smalling, Phil Jones, Andreas Perreira, Marcos Rojo, Jesse Lingard na Juan Mata (huyu anaonekanahayupo ktk mipango ya Ole) hawa wote hapaswi kuwepo tunahitaji kuwa na watu tutakao watumia tu.
Hapo mbakize mata cz mchango wake tunauona anapoingia, ni fundi sn cjui kwnn ole hamuamini, hao wengine uliowataja ni genge la vibaka.
 
Sawa lkn tunahitaji wachezaji wasio na masihara wanapokuwa uwanjani huyu Martial na trashford wana makosa mengi uwanjani so tunahitaji namba zao zifanyiwe replacement haraka zen hii mizigo iwe back up.
Upo sawa kabisa mkuu,,man u kama itapata striker mzuri basi tutafunga sn tu,,martial na rashford nafasi 4 wanafunga moja,,utasema ni main striker?
Ukitaka ubingwa ,lete sura za kazi... Wachana na watoto..mfano liver pale mbele na beki sura za kazi tupu,,
 
Tusajili kuongeza ushindani and that's all..watakuwa wanacheza based on their forms...Martial tokea alivyorudi kutoka kwenye injury amejitahidi sana

Mkuu nikikuambia urecommend ni jinsi gani unataka pale mbele pawe utakuwa na jibu gani?
Martial left,, weka cavani no 9 r/wing weka green wood,,au Sancho..
Weka pogba,,Fernandez,,van de beek midifilders,
Weka namba 3 mpya,, weka namba 4 mpya..weka harry no 5 ,,weka bisaka 2..
Rashford atapokeazana na yeyote martial,, au greenwood,,
 
Darmian,

Safisha nyumba inafanya mjione hamna wachezaji inawa-push kusajili haraka. Kwa sasa hivi tunaamini tuna mabeki wa kati sita (Smalling, Rojo, Jones, Maguire, Bailly na Lindelof) wakati kiuhalisia wapo wawili tu ambao ni active (Maguire & Lindelof, Bailly ni backup ila ni injury prone).

Kuna muda napata mashaka sana ni nani mzembe zaidi? Ed au benchi la ufundi? walipaswa watupe hata hope mashabiki kwamba wanapambana kutafuta beki wa kati.
 
Hao wote mizigo ni kuuza tu,,hata kwa paundi milioni 1.waondoke,,
Sasa mfano kama rojo,,sidhani kama kacheza hata mechi 5 last season..
Rojo,
Fred
Lingard
Jones
Tuazebe
Pepeira
Wakuuza wote...
 
Miaka Nenda miaka rudi Martial ndio mshambuliaji mwenye accuracy kubwa Epl na pia sometime ligi 5 kubwa. Msemeni martial mnavyomsema ila linapokuja suala la kuchezea Chance Martial si sifa yake.

Msimu wa 2 ama wa 3 huu anaongoza ligi ya uingereza kwa kupiga mashuti machache hali ya kuwa anafunga magoli mengi (conversion rate), hakuna striker yoyote pale ligi ya Uingereza mwenye shabaha kama yake.
 
Martial left,, weka cavani no 9 r/wing weka green wood,,au Sancho..
Weka pogba,,Fernandez,,van de beek midifilders,
Weka namba 3 mpya,, weka namba 4 mpya..weka harry no 5 ,,weka bisaka 2..
Rashford atapokeazana na yeyote martial,, au greenwood,,
Tumesajili falcao, lukaku, di maria, depay na mastaa kibao wameshindwa kutupeleka popote, tumemuamua turudi kwenye Asili yetu ya kusajili watoto wenye njaa ya mafanikio, timu imeanza kurudi kwenye form, haraka sana tunasahau tuanze tena kufuatilia hao wazee kina CAvani?
 
Nakubaliana na wewe,baadhi ya mechi mabeki wanafunga na matokeo yanabaki hivyo hivyo.

Ubingwa wowote ni collective responsibility ya kila mchezaji.
 
Kwani ni kitu cha ajabu kiungo kuibeba timu?

Tusim-undermine sana mchezaji mmoja ili tumpaishe mwingine..Martial pia mchango wako tokea January regardless ya ujio ya BF bado ni lazima tuu-recognize hata kama haukufika level tunazotaka
Kama tumeridhika na hilo?tusahau ubingwa,,, ktk mpira hata mabeki wanafunga,,lakini lazima uangalie kwann washambuliaji hawafungi?
Na lazima ujuwe kwamba kufunga kwa kiungo au beki ,,kunaonyesha kwa jinsi gani striker anavyoshindwa majukumu yao.na siku ukipata timu yenye wachezaji wazuri,,maana yake beki hawezi kupanda tena,,na huyo kiungo akibanwa na magoli hakuna tena,,
Striker ni muhimu na ole analijua hilo,,huyo van de beek ni moja kati ya wachezaji 4 wapya watakaoletwa man u msimu huu
 
Ilitegemea kocha anacheza mfumo,,pia mchezaji kushuka Kiwango inategemea na aina ya wachezaji waliomzunguka pia,,, sasa muangalia dimaria wa PSG ndy yule aliyekuwapo man u?
Kama Cavan Mzee tulipomnunuwa IBRA alikuwa na umri gn?
Leo martial ana miaka 24 utasema mtoto?
Wakati Rooney na ronaldo wana umri kama huo wa rashford na martial mbona walikuwa moto sana?
Tatizo la akina rashford na martial ni u serious hawana ,,,
Kama tutaendelea kubaki na martial as a main striker tuendelee kusubiri ,,ubingwa sio msimu huu..
Wala tusilielie tena,,
Kama aliyetuzidi anaendelea kununuwa ,,sisi tunajiona tupo sawa,,kisa Fernandez na magwea wanafunga,,
 
Sometimes haiko hivyo. Striker anaweza kuwa marked kwa attention kubwa na hivyo kutoa room kwa viungo kufunga. Firmino ana impact sana kwenye striki g force ya Liver, ukizubaa anakubamiza yeye, ukikomaa, unafungwa na Mane au Sala et al
 
Sikupingi mkuu,,na wala sisemi martial sio mshambuliaji mzr,,mm ni mmoja kati wa fans wa martial,,huwa namuelewa sn tu..
Martial anacheza vizuri sn wide,,akitokea kushoto,,na hata Mara zingine utamuona akiona kabanwa sn kati anampisha rashford pale no 9 yeye anakimbilia kushoto,,utaona kabisa timu imebadilika na yeye pia kabadilika uchezaji,,
Ninachosema ni kwamba ili tuwe washindani wa EPL na UEFA,,,FA basi tunapaswa tuongeze nguvu kwenye main striker no 9,,ndy maana martial sikumtoa kwnye kikosi,nikasema anapaswa acheze wide left,,, hivi umeshawahi kuona striker no 9 mfupi?madhara yake yapoje?kwenye timu pinzani?
Na ushawahi kuona striker mrefu?level ya Kane?madhara yake yapoje kwenye mipira ya juu?kona ,,cross nk?
Ndy maana martial kwenye kupiga mipira ya vichwa hapati nafasi,,sababu ya pia height yake ilivyo..pia hayupo strong sana ,,,akikutana na namba 4 mkorofi hutomuona uwanjani ,,, anapaswa acheze wide ndy anakuwa mkali sn..,,na hapo awepo mtu mkali level ya Kane,,au striker world class yeyote mzr,, pia anatosha..
 
Hapo kwa Fred, shika adabu yako.
Mkuu Fred ana makosa mengi sn tu,,sasa matic akiwa fit,,pogba,,van de beek,mac tommy,,huyo Fred atachez namba ya nani?
Tatizo la Fred anakaba vzr ,,anapokonya mipira lakini atatoa pasi fyongo,,haina macho wala miguu,,
Kiungo huyo hafai man u,,hii ni timu ya wachezaji wa level ya juu,,
Wewe mfuatilie sn tu....
Yule mtoto Mac tommy ni bora kuliko Fred..
 
Hv Fred na Scott ni nani yupo yupo vizuri kwenye passing accuracy?
 
Sometimes haiko hivyo. Striker anaweza kuwa marked kwa attention kubwa na hivyo kutoa room kwa viungo kufunga. Firmino ana impact sana kwenye striki g force ya Liver, ukizubaa anakubamiza yeye, ukikomaa, unafungwa na Mane au Sala et al
Huyo mane kiasili ni namba 10 lakini nae anacheza sn wide left..baadae anaingia ndani,,salaa ni r/wing lakini pia ni mfungaji mzr,,na firmino ni striker lakini wote ni wafungaji wazuri,,tena wanafunga kila siku,,na nafasi ngumu kabisa,,ukizubaa ushafungwa..
Huku kwetu tunapata nafasi za wazj tunakosa,,utasema unategemea striker tulionao?
 
Hakika kwa sasa sokoni hata kupata Striker mzuri ni mbinde kweli kweli.

Tunahitaji Striker wa kucheza kama tunahitaji kubadili mfumo maana strikers wetu wengi hawafiti kucheza kama target men.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…