Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa lkn tunahitaji wachezaji wasio na masihara wanapokuwa uwanjani huyu Martial na trashford wana makosa mengi uwanjani so tunahitaji namba zao zifanyiwe replacement haraka zen hii mizigo iwe back up.
 
Kocha anawaendekeza tuu. Anapaswa kuwabwatukia na kuwapiga benchi
Tatizo kule benchi ndo hovyo kabisa, unatoa trashford aingie nani Pereira au lingard? Ndo mana mm nkiona wachezaji classic km Alcantara wanatakiwa basi waje tu cz man co pana bado, eti mtu anakwambia Alcantara wa nn wkt kuna viungo wengi, au utasikia Sancho wa nn wkt tayari wapo wachezaji wengi nafasi yake au Grealish wa nn? duuhh ss hao wengi wenyewe wako poa kupambana na matimu km Bayern? Inabd waje tu cc bado tunahitaji kuongeza watu zaidi ikibidi namba moja iwe na mafundi wa3 zen wapuuzi km kina lingard offload cz wanakula mishahara ya bure pale cc inatuuma mana walipaji ndo cc wenyewe mashabiki.
 
Sawa lkn tunahitaji wachezaji wasio na masihara wanapokuwa uwanjani huyu Martial na trashford wana makosa mengi uwanjani so tunahitaji namba zao zifanyiwe replacement haraka zen hii mizigo iwe back up.
Tusajili kuongeza ushindani and that's all..watakuwa wanacheza based on their forms...Martial tokea alivyorudi kutoka kwenye injury amejitahidi sana

Mkuu nikikuambia urecommend ni jinsi gani unataka pale mbele pawe utakuwa na jibu gani?
 
Tusajili kuongeza ushindani and that's all..watakuwa wanacheza based on their forms...

Mkuu nikikuambia urecommend ni jinsi gani unataka pale mbele pawe utakuwa na jibu gani?
Kwa wachezaji waliopo kikosini au nipewe na nafasi ya kusajili?
 
Mkuu uko Sahihi, Pogba ni cheza very talented na anajua sana kuzidi DB na Fernandez, kama AKIAMU kucheza mpira.

Tatizo lipo hapo kwenye Caputal letters. Akiwa United sijawahi muona Pogba akiamua. Sijui lini ataamua kucheza mpira, until then we have to make a decision on a favour of Manchester United.
 
Namba 9 imeonekana kuwa na shida sana mkuu,nafasi nyingi zinapotea kizembezembe tu. Wachezaji wetu Wa pale mbele utadhani wapo kwa ajili ya mechi ndogo ndogo tu hasa mshambuliaji Wa kati
 
Namba 9 imeonekana kuwa na shida sana mkuu,nafasi nyingi zinapotea kizembezembe tu. Wachezaji wetu Wa pale mbele utadhani wapo kwa ajili ya mechi ndogo ndogo tu hasa mshambuliaji Wa kati
Ila kweli jamaa wanapoteza chances nyingi tena clear chances, ile game ya Sevilla ni mfano wa karibuni
 
Kusajili..wewe si huwaoni Rashford na Martial kama starter
Tia Cavani kati pale, tia VDB huku pembeni pia hata Grealish sajili japo wengi wanamchukulia poa najua kwasabu anacheza na Sammata ndivyo WaTz tulivyo but Grealish huwezi mfananisha na wapuuzi wengi pale utd na kwasabu atakutana na mafundi zaidi yake lazima atachange mpira wake wa anao anao,

kikosi kiwe


1. De gea
2. AWB
3. Shaw (apatikane beki wa kum back up huyu)
4. Upermecano
5. Maguire
6. Matic
7. Sancho
8. Bruno
9. Cavani
10. Pogba
11. VDB

Benchi:
Grealish, Fred, Mctomminay, Martial, Rashford, Greenwood, Bailly, Williams n.k

Hapo kwenye first eleven utaona ni wachezaji wa3 tu ambao hatujawasajili ukiongezea na Grealish utaona kwamba ni wachezaji wa4 tu ambao nitaongezea hapo na unaweza kuona upana wa kikosi hapo.
 
Hapo martial amekaa kaaje bench aisee?
 
Kimsingi suala la kufunga magoli kwa modern football ni la kila mchezaji uwanjani.

Kuna mechi Liverpool tatu mfululizo Van Djik alifunga wakachukua points.

Trent na Roberson walifunga mechi nyingi kuipa Liverpool ushindi.

Hata safu yetu ya Ushambuliaji haikufanya vibaya sana na ukizingatia wote walikuwa affected na injury kwa muda mrefu.

Tulimkosa Martial kuanzia mwezi August mpaka December.

Baadae tukamkosa Rashford kuanzia January mpaka June.

Tulimkosa Pogba kuanzia August mpaka September then akaumia tena mpaka June.

Kipindi chote hicho tulikuwa tunasuasua sana kwenye kufunga magoli kutokana na kuwakosa watu wetu muhimu.

Kwa sababu sasa hivi tunadepth kwenye midfield yetu na tuna wachezaji watatu wanaweza kufunga tutakuwa na uwiano mzuri sana wa kupata magoli kutoka idara tofauti za timu yetu.

Yes tunahitaji Striker kwajili ya kutumia tunapoamua kubadili mfumo wa kucheza
 
Mkuu unataka wenzio wa-spend tuu.
Sio waspend pesa bure mkuu,,
kikosi chetu bado hakija kaa sawa , Especially ktk nafasi 5...
Beki wa kati world class
Striker no 9 world class level ya Cavan au IBRA,,namaanisha wachezaji wenye nguvu na wanakufunga kwa vyote,,vichwa hata magoli ya kuunganisha cross..nimeona move nyingi sn man u zinapotea,,zinapigwa cross waunganishaji hakuna,,.
martial anategemea kupenyezewa tu,,na akibanwa hayo magoli hakuna,,pia martial ni mkali sn akitokea kushoto,,,anapaswa awe left wing hapo no 9 awepo striker level ya lewandoski..
Tatizo la kiungo wa kati lishamalizwa kwa kumsajili van de beek,
Bado centre back ni muhimu sana,,beki haina ushirikiano mzr sana ,,haswa no 4 na no 5.
Tununuwe namba no 3 wa uhakika,,, ,,siku luck shaw akiwa majeruhi tunahangaika sn tu..yule William hajakomaa bado kumuamini kama no 3 ,,kama tunataka ubingwa.
Sasa mkuu bila kufanya hivyo tutapataje ubingwa?
Liver poor na man city pamoja na ubora wao wa mwaka Jana bado wanasajili,,man u tumepata top 4 kwa mbinde unataka tusisajili,,,sasa tutakuwaje washindani wa kombe?kama aliyetuzidi tu na bado anaongeza wachezaji?tena wananunuwa world class players na sio average players..
Timu yetu bado ina mapungufu mengi sn,,lakini kwa sasa tutumie waliopo lakini tuongeze japo nafasi hizo tu,,na wachezaji wote mizigo tuuze,,
Mfano Pereira,,lingard,,phili Jones,tuanzebe,,na wengine mizigo,,tuuze tupate pesa tununuwe wachezaji viwango vya united..mbona wapo kibao tu?tena ubwete sn tu..
Hiyo pesa wanayotaka kumnunuwa Sancho ,,mm naona waachane na Sancho,,kwani hata greenwood atosha kwa nafasi ya Sancho,,
Wanapaswa wanunuwe wachezaji wa bei chee,,lakini wakali,,mfano Cavan yupo free kuondoka PSG,, kwangu naona angetusaidia sn pale mbele kutisha mabeki wa timu pinzani..uchezaji wa cavani ni sawa na IBRA,,ni hatari kwa vichwa na hata kushoot on target..
Timu yetu haitishi tena kwenye mashambulizi ya cross au mipira ya kona ,,hebu nambie lini mshambuliaji wa man u kafunga magoli ya kona kama hatumtegemei Harry kufunga?
Timu kama liver poor unafungwa na yeyote pale mbele kwa magoli ya kuunganisha cross..na hata kona.
Unadhani martial anatosha kutupa ubingwa?bado sana mkuu,,nukuu maneno yangu..
Kama sio ujio wa Fernandez man u basi tungemaliza nafasi ya chini sana man u..yeye ndy aliyetubeba na martial yupo namba 9...
Mark my words ,,martial hatoshi kutupa ubingwa man u akiwa kama bado tunamtegemea..kama main striker..
Martial ni mchezaji mzr sn,,na mm napenda sn uchezaji wake,,lakini akitokea pembeni ni hatari zaidi..
 


Martial huyu ana goli 17 za EPL na kaumia August-December...Ndo maana nikasema Tonny amejitahidi sana toka alivyorudi kwenye injury..na ni msimu wake wa kwanza kucheza full kama No 9 baada ya ule wa Van Gaal alipokuwa anamtumia kwenye hiyo nafasi...Either way tunahitaji backup ya uhakika zaidi kwenye hilo eneo kama ulivyorecommend,maana hata straika level za Lewandowski sokoni sioni
 
Mbona sioni tukisafisha nyumba? Chris Smalling, Phil Jones, Andreas Perreira, Marcos Rojo, Jesse Lingard na Juan Mata (huyu anaonekana hayupo ktk mipango ya Ole) hawa wote hapaswi kuwepo tunahitaji kuwa na watu tutakao watumia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…