Hayo ni makosa ya kawaida mkuu,,na yote husababishwa na no 4 mbovu..Huyu huyu au kuna mwingine?View attachment 1554939
AIG hyo mkuu wacha kabisa, cr7 mpk leo hajawahi kupendeza km vile.
Kwahiyo hili halikuwa kosa la Maguire ?Hayo ni makosa ya kawaida mkuu,,na yote husababishwa na no 4 mbovu..
Siku zote ,no 5 akipanda lazima no 4 awepo kusubiri,,sasa hyo no 4 wa kufuta makosa ya no 5 yupo wapi hapo?
Au na yeye kakimbia?
Mkuu na mimi nilitaka kusema neno kama lako. Tutakuwa vulnerable sana tukishambuliwaKutumia hao jamaa wote kwemye mid, lazima beki yote iwe world class na siyo hao Brandon/Shaw, Bisaka /Dalot au Maguire/
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kwa maoni yangu,kama tetesi za alcantara ni za kweli na akifanikiwa kuja carrington,tumuuze Pogba tuwe na mid ya bruno,alcantara na van de beek
Kwanini tusimuuze Fred ??Kwa maoni yangu,kama tetesi za alcantara ni za kweli na akifanikiwa kuja carrington,tumuuze Pogba tuwe na mid ya bruno,alcantara na van de beek
Namaanisha kwa startersKwanini tusimuuze Fred ??
They don't want this truth.Bruno hit back at critics
"I hear people saying, ah, he only scores from penalty kicks... But a little while ago, I saw the statistics, and except for penalties only Kelvin De Bruyne has a higher involvement in goals than me in England when it comes to midfielders".
Ipeleke jukwaa la chelshit
Mchezaji yeyote hukosea uwanjani,,,na haimaanishi akikosea yeye nibovu,,,Kwahiyo hili halikuwa kosa la Maguire ?
Pogba ni wold class midifilder,,,kitendo cha kumuuza ni kosa kubwa sn,,Kwa maoni yangu,kama tetesi za alcantara ni za kweli na akifanikiwa kuja carrington,tumuuze Pogba tuwe na mid ya bruno,alcantara na van de beek