Ha ha ha hizo sehemu zina upungufu kweli!Hapo unasajili kikosi kizima sasa.
[emoji736]PTER,
Sijui unaona nini special kwa Victor Lindelof, ila ukweli ni kwamba sio mchezaji wa kikosi cha kwanza kwa timu kubwa kama Manchester United kwa kifupi hafai. Ana uwezo mdogo sana generally plus ni too soft sio aggressive as a central defender.
Kitu pekee kinachofanya acheze ni kwa sababu timu yetu hatuna beki mwingine wa kati nje yake yeye na Harry ambao hawapati majeraha ya mara kwa mara. Kama Eric Bailly asingekuwa anapata majeraha ya mara kwa mara Victor hawezi kucheza kikosi cha kwanza.
Eric, ni beki mzuri sana kama angekuwa hapati majeraha muda huu angekuwa yeye ndio tegemeo. Ana sifa nyingi sana za beki wa kati anazopaswa kuwa nazo. Yupo very aggressive and stronger pia ni mtu mwenye uwezo wa kusoma mchezo hata mechi zenye pressure anaweza kucheza bila shida. Tatizo lake muda mwingi hana match fitness plus ukiwa unapata majeraha ya mara kwa mara confidence inapungua pia unaanza kuwa kilaza hupati muda wa ku-grow zaidi badala yake unaanza kuwa mbovu zaidi.
Ukitaka kufanya follow up vizuri kuhusu Eric, itafute ile mechi ya EPL tuliwafunga Chelsea goli 2 bila ilichezeka Stamford Bridge, feb 17, 2020. Utaona kuna kitu anacho ila shida ni majeraha ya mara kwa mara hayampi nafasi ya kukua zaidi kama mchezaji mwisho anajikuta ana-grow backward technically as a footballer.
Hawa ndio wachezaji nnaowataka yn majina yao ya kawaida lkn ni hatari, kwa nilichokiona hapa huyu dogo ni moto kuliko wachezaji wengi pale utd yn naweza kumuweka level za pogba na Bruno, nikipewa nichague Sancho na huyu kiukweli mm nachukua kwnz bila kuangalia mahitaji ya tm.
Adidas kwanini wanatufanyia ujinga kiasi hiki..mkataba nao unaisha lini turudi Nike?Man Utd third kitView attachment 1555225
Matumizi ya kocha.Stars wenzake waliotokea Ajax akina De jong na De Light soka limegoma walikohamia
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Mpk hv ss Adidas hawajatoa jezi kali hata moja, za nzr ila co kali, za mwaka jana ndio hovyo kabisa ile black logo iliharibu uzi mzima ni heri turudi Nike sema tatizo Adidas wametoa mpunga mrefu mno so ili turudi Nike inabidi watoe mpunga kuwazd Adidas.Adidas kwanini wanatufanyia ujinga kiasi hiki..mkataba nao unaisha lini turudi Nike?
Kuna jezi ile ya nike 2007/2008..yaani kitu kimesimamia ukucha ile mbaya..CR7 akiwa ameuvaa mtu unasema Yeees!!Mpk hv ss Adidas hawajatoa jezi kali hata moja, za nzr ila co kali, za mwaka jana ndio hovyo kabisa ile black logo iliharibu uzi mzima ni heri turudi Nike sema tatizo Adidas wametoa mpunga mrefu mno so ili turudi Nike inabidi watoe mpunga kuwazd Adidas.
AIG hyo mkuu wacha kabisa, cr7 mpk leo hajawahi kupendeza km vile.Kuna jezi ile ya nike 2007/2008..yaani kitu kimesimamia ukucha ile mbaya..CR7 akiwa ameuvaa mtu unasema Yeees!!
Tunaanzia hvKuna jezi ile ya nike 2007/2008..yaani kitu kimesimamia ukucha ile mbaya..CR7 akiwa ameuvaa mtu unasema Yeees!!
Sio gharama sna,,na anatufaa sana tu,,maana nae pia ni top target,,tatizo hii management ya Manchester united inayohusika na usajili ipo very slow,,,Hivi yule coulibaly Wa Napoli bado ni gharama sana au umri,au hatufai!?
Huyu halitogoma[emoji23]Stars wenzake waliotokea Ajax akina De jong na De Light soka limegoma walikohamia
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Huyu halitogoma[emoji23] japo kwa lile limpira letu sijui kama ataenda kwenye next level. Pale ajax alikuwa anakichafua nomaaa? Kuna siku nliwahi sema hivi Man U hawamuoni huyu dogo!? Kwa kifupi ni kama wamenisajilia mimiStars wenzake waliotokea Ajax akina De jong na De Light soka limegoma walikohamia
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
OkKama Van Beek keshasaini hakuna haja sana hapo kwenye DM. Ila winga Wa kulia,beki mzuri Wa kati na Wa kushoto ikiwezekana na kulia + namba 9 anaejielewa ni muhimu!
Tunaanzia hv
Sharp - Cantona & Yorke
Vodafone - Veron & Beckham
AIG - CR7
AON (Draft draft) - Robin van Vampire
AON (Yakawaida) - Berbatov
Chevrolet - [emoji134]
MaamaeeeLukaku
InashangazaAdidas kwanini wanatufanyia ujinga kiasi hiki..mkataba nao unaisha lini turudi Nike?