Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Iceman hana pace na Harry hana pace, hawa watu hawawezi kucheza pamoja. Kuna magoli huwa tunafungwa kwasababu wanakabia macho, kwangu mimi naona Harry anahitaji pacha mwenzake ambaye awe na pace ongeza na aggressive. Lindelof awe anaongeza squad depth.
 
IMEELEZWA kuwa Manchester United ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya beki wa Klabu ya RB Leipzig, Dayot Upamecano kwa ajili ya kuongeza nguvu msimu ujao wa 2020/21.
Kocha Mkuu wa United, Ole Gunnar Solskjaer yupo kwenye mpango wa kuboresha safu yake ya ulinzi ambayo imekuwa kwenye tatizo la umakini kwa msimu wa 2019/20
Lengo la kocha wa United ni kumuongezea nguvu nahodha wa kikosi hicho, Harry Maguire ambaye ndiye tegemeo kwa upande wa ulinzi ndani ya kikosi hicho.
Kwa mujibu wa ESPN , Solskjaer anaamini kwamba atakamilisha dili hilo mapema kabla ya Oktoba 5.
Tayari nyota huyo mwenye miaka 21 anayeshiriki Ligi ya Bundesliga amesaini mkataba mpya na timu yake ambayo ilitiga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kutolewa na PSG ya Ujerumani hivyo italazimika kutoa pauni milioni 53 kwa ajli ya ada ya kumpata nyota huyo .
 
Tusimsingizie Lindelof kwa individual errors za Maguire.

It's true Lindelof nae ana weakness zake lakini Maguire anapofanya error mzigo asitupiwe Lindelof.

Mifano michache ya hizo errors za slab head
1 alimkimbia Aubameyang with a wrong timing ya offside tukafungwa.

2 Alimwacha Meson Mount akajifungia goli on one vs one situation bila hata kumkaba.

3 Alimwacha Steve Bergwijn akafunga on one vs one situation bila hata kufanya tackle na hakuwa last man.

3 alikimbia pass ya goli la kwanza tukafungwa akiwa hajui anakaa bila kumkaba mtu yoyote akaupa mgongo mpira tukapigwa.

4 alimpiga header Eric Bailly recklessly na kumsababishia injury ya two weeks.

5 Game ya Chelsea two goals za chelsea zilitokana na makosa ya Harry Maguire moja ikiwa kujifunga kwa kupiga tap in ule mpira badala ya clearance.

6 game ya chelsea tena alipigwa wrong pass badala ya kufanya marking akaanza kukimbia kuelekea golini kampa mgongo Azipilcueta anakapiga cross almanusura tupigwe goli.

7 Pamoja na kuwa yeye ni captain lakini huoni wenzake akiwalekeza uwanjani mathalani game ya Sevilla tulifungwa kwa poor leadership uwanjani

Ngoja tupate defender mwingine ili aje ayaexpose zaidi mapungufu ya Harry Maguire.

NB
Nathamini sana mchango wake aliouleta kwenye timu toka asajiliwe ila Mzigo wa Makosa yote ya defence yetu asibebeshwe Lindelof tu.
 
Unataka kusema kwamba Passing accuracy ya Lindelof ni faulty ???

Sidhani kama Lindelof ana mapungufu kwenye passing sijawahi kuona kosa la Lindelof kwenye passing lililosababisha either a chance to score au a goal.
 
VDB ni mchezaji mzuri sana wasi wasi wangu ni wapi atatumika kwa kiwango chake siyo level ya back up player

Good in attacking, good marking and good defending what a boy !!!!!
Mkuu atapambania namba..hii united inabidi iwe na wachezaji wakali mwanzo mwisho..hata Fernandes na Pogba wakianza kuzingua wanawekwa benchi watu wanachukua nafasi..
 
Mkuu atapambania namba..hii united inabidi iwe na wachezaji wakali mwanzo mwisho..hata Fernandes na Pogba wakianza kuzingua wanawekwa benchi watu wanachukua nafasi..
Ni kweli ila kwa sasa itabidi apambane sana kuingia kikosi cha kwanza kama ataweza kuzoea mazingira haraka kwa work rate yake tutakuwa na kikosi kizuri sana kwenye midfield.

Siku tukichezesha Tominay, Donny, Bruno, hapo midfield patakuwa pamoto sana.
 
Huyu mshambuliaji labda Mimi namuona vibaya ila huwa Naamini si mzuri kivilee! Siyo top clinical finisher! Ana uzito Fulani hivi na control yake bado ni shida, so namuona kama ni mshambuliaji ambae hajakamilika na hawezi kubadilika!
 
Huyu kiungo mzuri sana na ni versatile anacheza kiungo mlinzi, kiungo mshambuliaji na ana kaba vizuri pia. Ana work rate kubwa pia si kama Pogba,ila sina maana ya kumsema vibaya pogba japo huyu mchezaji Naamini anaweza kuwa msaada kuliko pogba! Labda tu kocha ashindwe kumtumia.
 
Hivi yule coulibaly Wa Napoli bado ni gharama sana au umri,au hatufai!?
 
huyu dogo haipendi united maana alishatuchomolea kipindi kile
Naamini angekuja ila influence ya Pep ilimpeleka Munchen hasa ukizingatia Pep alikuwa kocha wao kule barca na ni mhisipania na dogo alikuwa bado Mdogo sana,hivyo kwa vyovyote hata ningekuwa Mimi ningeenda kule mana ni klabu kubwa pia lakini angepata faraja pia kuongozwa na mspain mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…