Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..The best 007,
Binafsi namuona Harry ni kama bonge la beki wa kati ambaye tumempata toka aondoke Nemanja Vidic na Rio Ferdinand kwa miaka hii ya karibuni na hata kwa timu yao ya taifa ya Uingereza yeye ndiye beki wa maana wa kati waliye naye.
Mapungufu pekee ya Harry hachezi ku-dorminate kama kiongozi uwanjani angalia jinsi mtu kama Nemanja au Rio au John Terry utaona walikuwa wanacheza with authority yaani ukiwa unacheza nao uwanjani unaogopa kufanya kosa la kijinga jinga. Harry ana-drive timu vizuri toka nyuma ila hachezi kama kiongozi labla kwa sababu alikuwa bado mgeni, maana kapewa uongozi msimu wake wa kwanza. Kama atabadilika ataanza kuwa mkali na kuwapanga wenzie uwanjani basi hofu yangu itapungua.
Kuna muda unapaswa kumuita hata mchezaji wako unamuonya aache upuuzi pale anapoigharimu timu huwa watu wanacheza kwa hofu wakijua kuna mtu humo ndani anawaangalia.
Winga ya kulia no 7 na striker no 9 mfia timu,,level ya juu kabisa,.mpira wa kichwa anakufunga,,popote anafunga,,Je hatutasajili DMF au wings jamani
Upo sahihi mkuu,,,huyo van de beek anacheza kutokea kulia,,na anacheza kama kiungo wa kulia,,atacheza chini kidogo ya Fernandez ,,,lakini juu ya pogba upande wa kulia,,,wakati bisaka anapanda yeye anaingia ndani anakuwa kama no 10...yupo vzr sn huyoWakuu habari..its been a while..pweh!!
Naona VAN DE BEEK anafanya medical mida hii(kulingana na Fabrizio Romano)
Binafsi simjui vizuri huyu mchezji lkn nimengalia Clips Youtube naona ni attack minded midfield..na anacheza sn upande wa kulia..maybe atakuwa deployed kama RW km tukimkosa sancho..Maybe!!!
Hivi Lindelof ni beki mbovu ?Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..
Man u wakati yupo Ferdinand 5 na vidic 4 beki ilitulia,,
Pacha ya harry na lindleof haijatulia,,
Lindleof bado haeleweki,,,ngoja asajiliwe no 4 mfia timu ,,,acheze pacha na harry..utaona uzuri wa harry...
Beki mpya akisajiliwa atayaexpose kwa uwazi zaidi makosa ya Harry Maguire.Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..
Man u wakati yupo Ferdinand 5 na vidic 4 beki ilitulia,,
Pacha ya harry na lindleof haijatulia,,
Lindleof bado haeleweki,,,ngoja asajiliwe no 4 mfia timu ,,,acheze pacha na harry..utaona uzuri wa harry...
Mkuu lindleof ni beki mzuri lakini hawaja match na harry,,pia beki no 4 lazima awe mkorofi...namba 5 anakuwa mtulivu,,,lakini lindloef kapoa sn,,,akipata washambuliaji wakorofi aina ya Diego Costa,,IBRA,, watapata uchochoro...Hivi Lindelof ni beki mbovu ?
Lindloef si kama ni mbaya kivile,,lakini anapaswa kuwa back up ya kitasa Fulani matata sana,,Beki mpya akisajiliwa atayaexpose kwa uwazi zaidi makosa ya Harry Maguire.
Kuna watu wanadai Lindelof ni mbovu lakini mimi naona Lindelof anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire.
Mapungufu ya Lindelof ni aerial duels ambazo ameimprove sana msimu huu ukilinganisha na last season kingine Lindelof hana pace but anajua positioning vizuri sana.
Ukiangalia mechi tulizofungwa kwa reckless defending utakuta aliyefanya makosa mengi ni Hatry Maguire recently ni mechi ya Sevilla goli la kwanza, game ya chelsea two goals.
Kama kweli Solkjaer anasajili beki wa kumreplace Lindelof muda utasema nani mwenye individual errors kuliko mwenzake.
I cant wait EPL irudi..i miss my team..i miss UTD!! GGMU!Ni back up nzuri for pogba na bruno incase of injury, tiredness,rotation etc...
I have the feeling ni Herrera aliyeboreshwa.Martial ajiandae kufunga magoli mepesi.
Kweli mkuu nasikia deal ilikiwa agreed kabisa kwenda madrid..baadae jamaa waka-pull off.Ugiligili,
Donny anakuja kucheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho. Technically anakuja kuua nafasi ya Nemanja, kati kati watacheza yeye, Paul na Bruno. Huu ni usajili wa kwanza wa Ole aliouhitaji kimkakati sio mchezaji wa backup huyu anaingia kikosi moja kwa moja. Shida pekee ninayo iyona je Ole yupo tayari kumrudisha nyuma kidogo Bruno?
Bado sijaelewa nini kiliwapata Real Madrid kabla ya Covid-19 walishaanza mazungumzo naye na walikuwa wapo ktk uelekeo wa kumchukua.
Angalia mpira wanaocheza Arsenal.Man utd hata kama rebuild ni process,lakini tunaenda taratibu mno. Imagine mchezaji mmoja kwa dirisha moja! Nilitegemea walau 3 kutokana na hadhi yetu lakini kwa sasa tumejificha kwenye kivuli cha corona na soko kuchafuka. Timu ina mapungufu mengi karibia kila eneo lakini dirisha moja mchwzaji mmoja wa maana.
huyu dogo haipendi united maana alishatuchomolea kipindi kileManchester United imejiunga na Liverpool katika kinyang'anyiro cha kumsaka kiungo wa kati ya Bayern Munich na Uhispania Thiago Alcantara, 29. (Dagbladet TV, via Sun)
Lindelof amekuwa consistent performer msimu huu hata last season.Lindloef si kama ni mbaya kivile,,lakini anapaswa kuwa back up ya kitasa Fulani matata sana,,
Kuna mechi zake,,kama ilivyo kwa akina Fredi na mack Tommy
Wacha tuone mkuu,,huyo beki atakayekuja atatupa majibu.Lindelof amekuwa consistent performer msimu huu hata last season.
Nafikiri Maguire ndiye anayehiyaji kuwa replaced na kitasa.
Ngoja tusubiri tuone nani atavaa viatu vyake sawa sawa
Mkuu PTER linderlof co beki wa kumtumainia, alikuwa mbovu kabla hata hajafika Maguire, tatizo lake kubwa ni marking na ndiyo maana hata cku ile na sevilla baada ya kuchoma Bruno alimfata kumpa ukweli wake yn huwa anakabia macho pia ana tabia ya kumsindikiza beki, Maguire ni dizain ya beki smart asiyehitaji vurugu nyingi, yeye kazi yake ni kumaliza pale na kupanga mashambulizi ( modern football) but akicheza na linderlof huwa hajiamini na ndiyo maana unakuta naye anavurunda mana atataka kupanda lkn aliyemuacha nyuma ni kiande so anajikuta ana hofu nyingi, yn Maguire ni heri acheze na bailly ndo utakuta ana relax tatizo kubwa ni ole anaonekana hamuamini bailly na ndiyo maana akipangwa naye pia anapoteza kujiamini mwishowe anachoma but angeiminiwa wala kulikuwa hakuna haja ya kununua beki na ukitaka kuamini nisemacho ngj bailly apelekwe hata kwa mkopo tm nyingine af uone.Beki mpya akisajiliwa atayaexpose kwa uwazi zaidi makosa ya Harry Maguire.
Kuna watu wanadai Lindelof ni mbovu lakini mimi naona Lindelof anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire.
Mapungufu ya Lindelof ni aerial duels ambazo ameimprove sana msimu huu ukilinganisha na last season kingine Lindelof hana pace but anajua positioning vizuri sana.
Ukiangalia mechi tulizofungwa kwa reckless defending utakuta aliyefanya makosa mengi ni Hatry Maguire recently ni mechi ya Sevilla goli la kwanza, game ya chelsea two goals.
Kama kweli Solkjaer anasajili beki wa kumreplace Lindelof muda utasema nani mwenye individual errors kuliko mwenzake.
Kiasili Bruno ni namba 8 mkuu so haina shida, na mm km ningekuwa namshauri ole ningemwambia amuweke pogba namba 10, Bruno ndo acheze 8 cz pogba ni mtu wa kupiga pasi za mwisho cjaona kizazi hiki, pogba co mtu wa shuruba ni mtu anayependa kucheza kwa kurekax, pogba ukimshusha chini unakuwa ni km umempa majukumu mazito sn maishani mwake na kutokea hapo ni lazima aonekane mzigo kwa tm.Ugiligili,
Donny anakuja kucheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho. Technically anakuja kuua nafasi ya Nemanja, kati kati watacheza yeye, Paul na Bruno. Huu ni usajili wa kwanza wa Ole aliouhitaji kimkakati sio mchezaji wa backup huyu anaingia kikosi moja kwa moja. Shida pekee ninayo iyona je Ole yupo tayari kumrudisha nyuma kidogo Bruno?
Bado sijaelewa nini kiliwapata Real Madrid kabla ya Covid-19 walishaanza mazungumzo naye na walikuwa wapo ktk uelekeo wa kumchukua.
Huyu huyu au kuna mwingine?Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..