Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unataka upewe raha?kilichonikera Mimi ni kuiweka Arsenal na takataka cheltyako,
Kwani wewe nyumbu una thamani gani?maana hao kina halima gwaya mlipigwa tu ng'ombe nyie
 
Hiyo Release Clause ya 700M paund ni kubwa na inauwezo wa kununua kikosi kizima cha WACHEZAJI 30 wa Arsenal,, ila bado kuna shabiki fulani wa arsenal na chelsea haamini , anaona kama vile 700M pauni ni ela ya kitoto. Badala ya apige mahesabu aone ukweli
 
Unataka upewe raha?kilichonikera Mimi ni kuiweka Arsenal na takataka cheltyako,
Kwani wewe nyumbu una thamani gani?maana hao kina halima gwaya mlipigwa tu ng'ombe nyie
Je Pepe thamani yake alichotoa Arsenal ana utofauti gani na Greenwood under 19
 
Ha ha ha hapa inaweza ikaanza biashara haramu kati ya maafisa watakaoshughulika na hizo grade na mawakala Wa wachezaji
 
Mkuu kama hiyo avatar ndio picha yako aiseeeeh,naamini kuna mahala patakuwa panawasha na panahitaji kukunwa na kitu kigumu,
Acha kuidharaulisha Arsenal ,ungekuwa karibu ungechezea nako
Hii imetoka moyoni
 
Usajili (0)

Beki za kushoto (majeruhi)

Bissaka (atakaa quarantine wiki 2)

Pogba (ana maambukizi ya virusi vya Corona)

Rashford (anahitaji muda wa kupumzika kutokana na jeraha lake la ankle)

Maguire (Wagiriki bado wamemganda)

**Another long season incoming.......
 
Ole is on the wheel mkuu
 
Uyu Arse8 achananaye timu yake ishajifia. Ila siyo kwa Chelsea, Arse8 inaingia mara tatu kimapato kwa Chelsea, Spurs mara tano, Liverpool mara tatu.. aliyetupita kidogo ji Man u ata Man city anaingia mara mbili kwa Chelsea.

Hivi unamjua Roman Abramovich??
 
Huu ni ukweli kabisa, unanunua timu nzima ya Arse8 na benchi la ufundi pamoja na uwanja wao.
 
★He has poor Ball control
.

Understandable.... “I’m sorry what did u say?”


Ila Maguire sawa bhana★

#GGMU
 
Je Pepe thamani yake alichotoa Arsenal ana utofauti gani na Greenwood under 19
Pepe umeshasahau alichowafanya pale emirates kwa dakika 30 akatoka zake?

Kweli nyumbu ni wasahaulifu

Karudie ile mech mnapigwa 2-0 halafu pepe anamaliza kazi yake anatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…