Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki wa Chelsea na arsenal wanashindwa kuwa kwenye jukwaa lao , muda wore wanashinda huku .

Jamani nendeni kwenu...
Kwani wewe hujui kuna mashabiki wa manyumbu wanaokesha kwenye jukwaa la chelsea na arse8
 
Mkuu kama hiyo avatar ndio picha yako aiseeeeh,naamini kuna mahala patakuwa panawasha na panahitaji kukunwa na kitu kigumu,
Acha kuidharaulisha Arsenal ,ungekuwa karibu ungechezea nako
 
Hiyo thamani ya kante ni zamani ila hyo ya chillwel ni overrated hana thamani hyo, pia subiri muone lampard akiwajazia maingereza hapo.
Je Werner,ziyech nao ni waingereza???
Vipi kuhusu Kai,Thiago silva je nao ni waingereza

Wale pale ni wachezaji aliowakuta kulikuwa hakuna namna zaidi ya kuwatumia na kuwachukua wale waliokuwepo loan
 
Mkuu kama hiyo avatar ndio picha yako aiseeeeh,naamini kuna mahala patakuwa panawasha na panahitaji kukunwa na kitu kigumu,
Acha kuidharaulisha Arsenal ,ungekuwa karibu ungechezea nako
Amekosea sana kuiweka Chelsea na timu nyingine za ajabu ajabu. Pumbafu kabisa..
 


Huo mshahara wa euro 650 elfu Kwa wiki Clubs zote za Big six wanao uwezo wa kulipa vizuri sana

Kama huamini kaangalie mishahara ya Atletico Madrid ,Intermilan na mapato ya hizo clubs Kwa mwaka halafu ukalinganisha na mapato ya Tottenham Hotspurs utapata jibu

Tatizo Kwa Messi ni hiyo Release Clause sababu value ya hiyo Clause inajenga viwanja viwili vikubwa vya kisasa kama uwanja Mpya wa Spurs, pia hiyo Release Clause ni mapato ya msimu mmoja nzima wa club ya top five highest earner clubs in Europe

Kiufupi hiyo Release Clause ni komesha maana hiyo hela unanunua Club kubwa kabisa pale EPL sio mchezaji mmoja
 
Wewe ni takataka wa kupuuzwa. Unaifanisha Chelsea na vitu vy ajabu ajabu
Takataka mwenyewe. Kwani kuna ubaya gani thamani ya messi kutokuwa sawa na jumla ya wachezaji wote wa Arsenal au Chelsea. Ww piga mahesabu utakuta ni hiyo Pauni 700Million , tena yawezekana chenji zikabaki😀😀 🤪 🤪
 
Mkuu kama hiyo avatar ndio picha yako aiseeeeh,naamini kuna mahala patakuwa panawasha na panahitaji kukunwa na kitu kigumu,
Acha kuidharaulisha Arsenal ,ungekuwa karibu ungechezea nako
Mbona umepanick na unataka kupasuka na kulia utafikiri ww ndio mmiliki wa arsenal8 au huamini kuona Kikosi chenu ni sawa na thamani anayouzwa messi. Wekeni sokoni wachezaji wote 30 wa Arsenal uone kama itazidi hata 500M Euro,,,,. Yaani na chenji zitabaki.

Mm nilikuwa sijui kama kuna sentensi zinawafanya mpasuke kabisa😅😅😂😂😂😂😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…