Anaomba aondoke bure..cuz kimkataba hawezi kuondoka labda mpk msimu ujao due to his price tag.-
'Messi cannot leave now' - Former Barcelona president Gaspart slams planned exit
However, Gaspart - who was president of Barca between 2000 and 2003 - told Marca: "[Messi] cannot leave. He will have to leave in 2021.
"I have seen the contract and it is very clear. The clause ended in June and there is no going back.
"I prefer him to leave next year for zero than to go now for less than €700 million.
"The club is in charge here, not the player. The club paid the players. And this is not a matter of money, there is a signed contract and that's it."
Source ; Sky Sports
Sasa je ! Kuna timu yenye €700 million na yenye uwezo wa kutoa mshahara zaidi €650k kwa wiki kwa huyu mzee mwenye 33years????
Maana hiyo €700 million inanunua timu nzima Arsenal na Chelsea kwa ujumla 😀 😀
Hapa ni upupu tu sijaona kitu cha msingi UTD walichokizungumza..SHOTS FIRED!!!
Klabu inasema kwamba bado inaendelea kumuunga mkono meneja (Solskjær) katika kuimarisha kikosi kwa muda mrefu.
Pia inaangazia kwamba dirisha la usajili msimu huu halitakuwa la 'biashara kama kawaida' kwa sababu ya athari kubwa ya kiuchumi kutokana na janga la Corona.
Hivyo kutokana na athari za kiuchumi klabu lazima iwe na tahadhari msimu huu wa joto ili kuhakikisha kuwa klabu inahifadhi nguvu yake kupitia kipindi hiki kigumu.
(Source: BTP Media Network - Via: utdreport)
Ukizingatia man u ni utopolo fc linapokuja suala la usajili [emoji3][emoji3][emoji3]Oi kuna dicussion ambazo hata hazifai kuzungumzika..Moja ni hii ya MESSI to UTD..Hii kitu HAIPO..narudia HAIPO kabisa..! Tuhepuke kuishi kwny FANTASY
Jela inamuhusu hakuna jinsiHivi Maguire imekuwaje huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukizingatia man u ni utopolo fc linapokuja suala la usajili [emoji3][emoji3][emoji3]
-
'Messi cannot leave now' - Former Barcelona president Gaspart slams planned exit
However, Gaspart - who was president of Barca between 2000 and 2003 - told Marca: "[Messi] cannot leave. He will have to leave in 2021.
"I have seen the contract and it is very clear. The clause ended in June and there is no going back.
"I prefer him to leave next year for zero than to go now for less than €700 million.
"The club is in charge here, not the player. The club paid the players. And this is not a matter of money, there is a signed contract and that's it."
Source ; Sky Sports
Sasa je ! Kuna timu yenye €700 million na yenye uwezo wa kutoa mshahara zaidi €650k kwa wiki kwa huyu mzee mwenye 33years????
Maana hiyo €700 million inanunua timu nzima Arsenal na Chelsea kwa ujumla 😀 😀
Ngj tuone mwisho wake huenda hii issue ya Messi ni kweli mana jamaa katikisa kiberiti na kiukweli yupo real anataka kusepa na tm zinazomuweza Messi ni chache sana hapa duniani ambazo ni Madrid (hawezi kwenda), Bayern (hawezi kwenda cz kwa ss Bayern ni km Madrid kwa Barcelona so atawaumiza sn mashabiki), na man u (japo tatizo litakuwa culture ya tm czani km atafit ila tusubiri tuone) na ndiyo maana uki connect dots utaona ya kwamba man u ina delay dili ya Sancho because of Messi, hawawezi kumsajili Sancho zen Messi itakuwa matumizi mabaya ya ofc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lindelof anakamata vibaka mtaaniMan u yangu duh!
Maguire anaenda jela
Lindelof anakamata vibaka mtaani.
Usajili figisu.
Hili litimu acha tu.
Hawezi kuendelea kuwa captain wenzetu wanazingatia sn maadili, namuona Bruno akivaa tambala lililokuwa likimsubiri na kwakweli ameonesha ya kwmb ni kiongozi wa kweli uwanjani.Kwahiyo ndiyo munataka kumpokonya Ucaptain siyo? Angelikuwa sio Muengereza kama Paul Pogba ingewezekana! Lakini wakati ni Muengereza basi Ucaptain wake hautoguswa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1548656