The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Man u v Roma ilikuwa 7-1 mkuuKumbukumbu zangu ziko hivi.
Man u v As Roma 7-2
Bayern Munich vs Barcelona 7-0
Real Madrid v Bayern Munichen 6 - 3
Bayern Munichen vs Barcelona 8-2
Barcelona vs Bayern Munichen 5- 3.
Rivalry ya Bayern na Barcelona siyo ya kawaida hizi timu ili uwaondoe kwenye mashindano lazima ufunge goli nyingi vinginevyo wanakutoa tu.
Ndiyo maana kila mmoja akimuotea mwenzake huwa anapiga kweli kweli.
Ed is stupid sometimes.Get ur facts straight..Herrera Left the club FOR FREE..!! hakuuzwa.
Bayern alimshindilia Barca kumbuka.Kumshindilia mtu nane tulishafanya kabla Bayern hajafanya mkuu
Man u alimshindilia Arsenal tena arsenal ile ya kina Henry co Barca mbovu hii.Bayern alimshindilia Barca kumbuka.
Jamaa una hasira sn na man kiasi cha kwamba ukiambiwa uchague kupigwa mkuyenge au kushabikia man utajishauriNyumbu kama Nyumbu
SureNi yeye Messi wa EPL
My friend siku nikikutana na aliyempa hili jina tampiga paka apasuke yani aiveHuyu jamaa ni moja kati ya Walaji Mishahara Ya Bure pale Man united yani kuna sehemu nasema ni utapeli mkubwa sana Chama kuchezea simba alafu lingard man united.View attachment 1547187
acha ujuaji nazungumzia mechi moja tu kule uefa mtu kufa naneTatizo nyie wengine mmeanza kushabikia man u juzi especially baada ya betting kushika kasi lkn man u ishawahi kumpiga mtu bao 8-2 nao ni As Roma, game ya kwnz Roma alishinda kwao 2-1 akaja OT akakutana na hicho kiama, ule ni ushindi ambao ckuwahi kuuona kwny ucl mpk ile juzi Bayern Munich nayo inapata ushindi ule.
mechi ipi??moja tu nataka sio home and awayKumshindilia mtu nane tulishafanya kabla Bayern hajafanya mkuu
Arsenal pale pale Emirates na AS Roma pale Old Traffordmechi ipi??moja tu nataka sio home and away
una bichwa gumu sana kuelewa......nimekuambia uefa na sio ligi
roma alipigwa saba tu na sio giant kama barcaArsenal pale pale Emirates na AS Roma pale Old Trafford
una bichwa gumu sana kuelewa......nimekuambia uefa na sio ligi
niliuliza huko juu sijui hata swali langu kama ulilionaKama una kichwa kilaini wewe una matatizo unahitaji msaada wa haraka. Nime quote nilicho reply na hapakuwa na neno UEFA.
OT tulishinda 7-1 = 8-3Tatizo nyie wengine mmeanza kushabikia man u juzi especially baada ya betting kushika kasi lkn man u ishawahi kumpiga mtu bao 8-2 nao ni As Roma, game ya kwnz Roma alishinda kwao 2-1 akaja OT akakutana na hicho kiama, ule ni ushindi ambao ckuwahi kuuona kwny ucl mpk ile juzi Bayern Munich nayo inapata ushindi ule.
Bibimawe kama BibimaweTimu yetu mzuri haihitaji usajili kwa sasa