★Matatizo yenu ya akili msiwe mnayapitishiamo kwenye ushabiki basi,maana naona watu wengi humu team tofauti wanapingaga ujinga ujinga tu kumbe ni Mapunguwani.
Mwisho tutaiomba Mod iwe inafanya BRAIN SCAN kabla mtu hajaanza ku QUOTE au KUPOST Kitu,mfano ulicho Post hapo umePost ili tukusaidie nini sisi??? nazani hatuna msaada wowote na Post yako chamsingi ungepeleka Kwenye Jukwaa la Timu pinzani ili mlijadili vizuri★
Hii inshu ya Maguire siijui vizuri ila vyombo vya habari uingereza naona wamekausha . Hilo tukio angefanya mtu kama Pogba aisee wangelishikia bango mpaka angetamani kuhama nchi