Mkuu fuateni huu ushauri hapa mana mtasababisha na huu nao uzimweKuna wenzangu nimeshawaona huku, leo FRIENDLY MATCH kwa wanaotumia mrusi kumenona sana.
liverpool, sulsburg, ajax totenham, eintrach frackfurt wanatembea wamening'iniza hela kwenye mfuko wa shati. Je, tulimwage hapa hapa?
Hivi
Hivi haiwezekani member mmoja kuanzisha Uzi kwenye pm yake na members wengine wote kuingia humo kuweza kuchangia ?
Inawezekana..wafanye hivyo,wasituchafulie uzi wetu tafadhaliHivi
Hivi haiwezekani member mmoja kuanzisha Uzi kwenye pm yake na members wengine wote kuingia humo kuweza kuchangia ?
Mana hawa jamaa ni wengi mara tatu ya members wa humu so wakiingia humu tegemea comments zaidi ya 500 per hourInawezekana..wafanye hivyo,wasituchafulie uzi wetu tafadhali
Tutawaitia mods,hatutaki ujinga..wafungue thread kwenye pm ya mtu mmojaMana hawa jamaa ni wengi mara tatu ya members wa humu so wakiingia humu tegemea comments zaidi ya 500 per hour
Absolutely.Wage structure ya mpira inategemea bargaining power na siyo performance
Hapa ndio penyewe njooni tujifiche hapahapaWazee wa kubeti Njooni huku ile thread wamefuta Tena au tuachane nao?
Hapa ndio penyewe njooni tujifiche hapahapa,
Hawa jamaa walikosea nini ule uzi wao ukafungwa? Mbona ulikuwa una maadili fresh tu!Tutawaitia mods,hatutaki ujinga..wafungue thread kwenye pm ya mtu mmoja
Natoka nje kdg, mm namkubali Maguire ila u captain haumtoshi.Kimsingi sisi binadamu ni watu wepwsi sana kuhukumu bila kuangalia story husika ilikuwaje(mimi mmojawapo)
Kisa cha MAGWAYA kukamatwa..
Rival fans shouted "F*** United" towards Harry Maguire and his friends at a bar in Mykonos. MAGUIRE'S SISTER WAS STABBED WITH A 'SHARP OBJECT' AND HE STEPPED IN TO DEFEND HER #mulive [mykonos voice]
Dada ake alifanyiwa fujo na kuchomwa na kitu chenye ncha kali thats why aliingilia kati kumlinda..
Hongera captain.
Hahahaha tuamishie makazi uku man ..hizi nyumbu tuzipe loose au draw.Wazee wa kubeti Njooni huku ile thread wamefuta Tena au tuachane nao?
Tutupie mzigo mkuu ..tusicheleweshe mambo ni mengi. Harakati tufanyie humu humuKuna wenzangu nimeshawaona huku, leo FRIENDLY MATCH kwa wanaotumia mrusi kumenona sana.
liverpool, sulsburg, ajax totenham, eintrach frackfurt wanatembea wamening'iniza hela kwenye mfuko wa shati. Je, tulimwage hapa hapa?
Mkuu ile ndiyo kazi yao cc mashabiki kazi yetu ni kulipa viingilio kutazama walichotuahidi kukifanya na ndiyo maana wanapozingua huwa wanatuomba msamaha mashabiki wote dunia nzima cz mambo yote anayofanya ni kwa ajili ya mashabiki cz mashabiki tukimpenda na ndiyo yeye mambo yake yanamwendea vzr, ss ww haya maneno yako yanajidhihirisha kabisa ni hutambui nafasi yako km shabiki bali unadhani ww kuwa shabiki ni km huruma umepewa na tm husika, hapana mkuu ucwe hivyo hayo maneno ya kwenye draft achana nayo hayana uhalisia.
Apo sawa nimeelewa ..ila sasa ndo timu yetu man u ni takataka tu.Mkuu ile ndiyo kazi yao cc mashabiki kazi yetu ni kulipa viingilio kutazama walichotuahidi kukifanya na ndiyo maana wanapozingua huwa wanatuomba msamaha mashabiki wote dunia nzima cz mambo yote anayofanya ni kwa ajili ya mashabiki cz mashabiki tukimpenda na ndiyo yeye mambo yake yanamwendea vzr, ss ww haya maneno yako yanajidhihirisha kabisa ni hutambui nafasi yako km shabiki bali unadhani ww kuwa shabiki ni km huruma umepewa na tm husika, hapana mkuu ucwe hivyo hayo maneno ya kwenye draft achana nayo hayana uhalisia.
Sawa cz macho yanatofautiana mkuu unayemuona ww mzuri me namuona kituko na nnayemuona mm mzr kwako ni uchafu mkuu.Apo sawa nimeelewa ..ila sasa ndo timu yetu man u ni takataka tu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
πππππMana hawa jamaa ni wengi mara tatu ya members wa humu so wakiingia humu tegemea comments zaidi ya 500 per hour