Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gharama za usajili walizotumia Bayern Munich kuunda kikosi chao cha kwanza ni sawa na Gharama waliotumia Man United kumnunua Harry Maguire kutoka Lecester City
 
Ndiyo huyo uliyeweka Kwenye avatar ?
 
Bora kaenda Arsenal wachezaji wa South America kwa united ni betting ya hatari sana.

Tungepigwa tena, naamini wangepeleka offer united tungepigwa double ya hiyo ya Arsenal.
 
"Mapenzi Mubashara"
 
Dean Henderson is at Manchester United training today, welcome back Deano!
#MUFC
 
Manchester United before this have been linked with various strikers since the Haaland, Jadon Sancho, Moussa Dembele, Raul Jimenez, Timo Werner, Kai Havertz and Arkadiusz Milik.

Timo Werner and Arkadiusz Milik is a big Manchester United fan. Timo Werner admits he still harbours a dream of playing for Manchester United, the team he supported as a youngster.
"As a young boy, you always dream of the big club you'd like to play for. It used to be Manchester United under Alex Ferguson, who always won. A young boy is always a fan of those who win".

While Milik told,
“I’m a Red Devil supporter, that’s why I’d love to play in the team at Old Trafford one day.”

But what happened now, all these said player go to our rivals because our progress in doing everything is too slow.

Please tell Woodward that he needs to change his mind about Manchester United transfer approach kinda tactics in playing football. We cannot afford to stand still forever while our rivals strengthen. It is time for the Red Devil once again became the preferred destination for the best players.
 
Sawa mzee ila..

Soko siku hzi limebadilika na we dont hv to make a fool of anyone due to that.

Utd tulimuuza Ronaldo to madrid kwa approx £80mill kwa kipindi hicho ambapo kwa sasahivi ingekuwa juu zaidi..

Same na hapo naona price tag ya kipa ni £30mill( zaidi ya miaka mitano iliyopita) nafikiri kwa mwaka huu ni zaidi ya hiyo.

Kwa sasa tunaangalia thamani,ukiangalua thamani ya hicho kikosi kwa sasa ni zaidi ya mara mbili au tatu ya gharama za mwanzo. Ambapo huwez fananisha na gharama za Maguire.!!!

Note;Sipondi transfer strategy za Munchen tho.
 
Pili siwalaumu chelsea kwa gharama za Keppa
Jamaa walikuwa under pressure ya kutafuta kipa baada ya Cortour kuForce move ya kwenda madrid..it was unexpected and within short time..so real betis wakatumia advantage kuwakamua pesa.

Kimsingi sio kila transfer lazima itoe matunda..nyingine huwa zinafeli vibaya
Mf; FERGUSON na kina BEBE
GARDIOLA na kina NORITO,BRAVO
MORINHO na Mkitaryan,KdB,Mo Salah
Conte na Kina Zapacosta,Drink water
Arsenal na GNABY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…