Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sipo kwa Chico mm, nipo kwa nisterlooy vs lukaku.
See how naive you are right now.

Ulimuunga mkono mwenzako kule mwanzo kuhusu Javier. Sahivi umehama.

Haya twende sasa na facts za Nesterlooy na Lukaku.

Usilete story za delivering, sijui magoli ya ajabu. Maana hizo hazina maana kwa sasa.
 
U have decided to deviate from the point of discussion, listen bro I am talking about Ruud van Nisterlooy and not Javier Hernandez and this is because u disrespected him by categorising him as an average player that's all.
 
Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.

Kuna mtu kasema Lukaku hafai kuchezea united kwa sababu ya rangi yake ?

Kwani Rashford na Martial ni wupe ?
 
See how naive you are right now.

Ulimuunga mkono mwenzako kule mwanzo kuhusu Javier. Sahivi umehama.

Haya twende sasa na facts za Nesterlooy na Lukaku.

Usilete story za delivering, sijui magoli ya ajabu. Maana hizo hazina maana kwa sasa.
Ok just show me statistics to show that Lukaku is better than Ruud van Nisterlooy.
 
Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.

Kuna mtu kasema Lukaku hafai kuchezea united kwa sababu ya rangi yake ?

Kwani Rashford na Martial ni wupe ?
Leo hii Pele(mweusi) ndio mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea mbn dunia nzima inakubali bila tatizo? Huyo jamaa analeta execuses za kitoto sn.
 
Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.

Kuna mtu kasema Lukaku hafai kuchezea united kwa sababu ya rangi yake ?

Kwani Rashford na Martial ni wupe ?
Pale man kuliwahi kuwa na Yorke na Cole wote ni weusi mbn hakuna mtu aliyewaongelea kuwa hawajui kisa ni weusi? Huyo jamaa analazimisha nyekundu kuwa njano hatimaye analeta statistics za national team wkt tunajua kuna wachezaji kwenye klabu zao wako hovyo lkn tm za taifa ucwaguse na kuna wengine ni vice versa, ss kuepuka hilo tukijikite kwenye klabu tu cz hapa naongelea Manchester utd tu hizo tm zao za taifa cna mpango nazo cz hata achezeje huko national team zen akawa anafanya vibaya old Trafford lazima tumtimue.
 
Stats zipo hapo juu.

They all fall in the same category.

Nesterlooy amekaa misimu mitano Man Utd ikiwa peak na Lukaku miwili tena ila mbovu wa Mou na mwingine akiwa na clueless Ole..
Km unajua unajua bila kujali ni kocha yupi, mfano mdg tu ni pale man city ni dhahiri kwamba pep anampendelea zaid Jesus kuliko Kun lkn ameshindwa kumnyima nafasi kun cz kun anajua kuliko Jesus, ss huyo lukaku wako km angekuwa world class mashabiki tungejua na wala usingesikia maneno maneno.
 
Sawa.
 
Hata mm nashangaa hawa cheltako na Arsenane wamekuja kuleta mapungufu ya timu zao mbovu sijui ili iweje 😀 😀 😀
 
MANCHESTER United imeripotiwa kupanga kuvamia kwenye kikosi cha Barcelona dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi kuwanasa Ousmane Dembele, Arturo Vidal, Ivan Rakitic na Samuel Umtiti.
Miamba hiyo ya La Liga imepanga kuondoa baadhi ya mastaa baada ya kukumbana na udhalilishaji mkubwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya walipochapwa 8-2 na Bayern Munich Ijumaa iliyopita. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, wachezaji hao ni miongoni mwa wataofunguliwa mlango wa kutokea na kwa nyakati tofauti, Man United ilihusishwa na wachezaji wote na kikosi hicho cha kocha Ole Gunnar Solskjaer kinahitaji Barcelona tu washushe bei zao iende kunasa huduma zao fasta.
Kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi, chaguo la kwanza la Man United ni staa wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho - lakini kutokana na bei kubwa anayouzwa, miamba hiyo ya Old Trafford inapiga hesabu ya kunasa wabadala wake ambao itawapata kwa bei ndogo.
Dembele anatazamwa moja kwa moja kama mbadala wa Sancho na huduma yake itapatikana kwa gharama ya chini huku Barcelona wakiwa tayari kumuuza kutokana na rekodi yake ya kuwa majeruhi mara kwa mara.
Umtiti naye anaweza kupatikana, huku Rakitic aliambia Man United kwenye dirisha la Januari kwamba hana mpango wa kujiunga na timu hiyo, lakini kwa sasa kila kitu kinaweza kuwa tofauti.
Miamba mingine itakayochuana kusaka huduma za wakali hao ni Arsenal, Chelsea, Liverpool, Tottenham Hotspur na Manchester City ukiweka kando timu za nje ya Ligi Kuu England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…