Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilisema Man united kumkosa Halland ilikuwa kosa kubwa sana yule ni pure striker tunayemhitaji pale united na anayeweza kutupa mafanikio kwa miaka 10 ijayo leo hii ukiwafuata Dortmund wakuuzie Halland lazima utoboke 100M.

Sokoni kuna wachezaji wachache sana wenye vipaji vikubwa siku hizi na kumpata unahitaji pesa kubwa sana kupoteza opportunity ya kumsajili yule dogo kisha tukaenda China kuchukua Septuagenarian lilikuwa tusi kubwa sana kwa united.

EPL striker pekee ambaye ni level ya united ni Harry Kane tu walau na Raul Jimenezi kama back up striker wengine wote siyo level ya united.

Ukija wing ya kulia kuna wachezaji mmoja tu anayeweza kuwa daraja la united naye ni Moh Salah pengine labda na Bernado Silva.

Hapo ndiyo unaweza kujua how far hatujafikia hatua ya kuota mafanikio.

Msimu ambao tutaanza kuona makombe ni 2021/ 2022 hapa ndiyo chemistry ya timu na huenda wachezaji anaowataka watakuwa wamekamilika.
 
Hivi leo ndo tunatafuta natural number 9?
Kwamba Martial anafaa kutokea pembeni.View attachment 1540896
Hao huwa hawatambi wakiwa utd cz jina la tm linawazd kimo na mtu asiniambie kuhusu mfumo mana km unajua unajua tu itabaki tu kusema kocha kazingua kwenye mfumo but cc mashabiki hatutakugusa cz unajua, nikija kwenye suala la lukaku cwezi na sitokuja kujuta kumpiga chini cz ni average player ameenda kwenye ligi ya saizi yake so ni lazima aonekane mtu lkn ni mimavi tu.
 
Ni kweli mkuu
 
Co lazima waamerika wa Brazil au Argentina tuchukue hata waamerika wa ulaya Spain au Portugal mbn wanafanya vzr tu utd.
Best option ni East Europe wachezaji wale wanafit vizuri sana kwenye football culture ya united na wengine ni physical hapa Man united siku hizi hatuna wachezaji physical wengi ni rojorojo sana.
 
Wkt mwngne huwa naona maneno ya mzee Wenger yanaishi kichwani mwangu kuhusu kusajili wachezaji wenye majina kwa pesa nyingi wkt sokoni kuna wachezaji wengi tu wasio na majina lkn uwezo ule ule, mfano tazama Leipzig ina wachezaji wengi wasiojulikana lkn kimpira unakuta wanaupiga mwingi kuliko tm nyingi zenye wachezaji wenye majina tatizo hapo ni kuwa na scouting yenye jicho la mwewe.
 
Basi kutakuwa na sababu zingine ambazo hatuzielewi kwanini wengi hawaperform sana?
Man u kuna tatizo sn kuhusu viwango vya wachezaji kwa miaka ya hv karibuni, yn unakuta mchezaji akija ana perform vzr lkn miez kadhaa mbele naye anageuka average player ss cjui wanapigana misumari pale, hata Bruno utakuta mcm ujao anageuka lingard.
 
Lukaku kashapigaga goli 25 za EPL kila Msimu kwa Misimu miwili EPL Nani pale United ana hizo goli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…