Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sioni sababu ya kumbeza OGS, bado anahitaji kuwezeshwa mahitaji yake kwa wakati. Rejea Klopp aliingia fainali kama sio 2/3 zote alipoteza kilichofuata baada ya hapo alisajili wachezaji aliona wanamfaa kumletea makombe.
 
Usimfananishe Klopp na Sosha!

Klopp alipoteza 2 za UEFA (Bayern & Real Madrid) na katika michuano yote hiyo aliyopoteza timu yake ilionyesha kiwango kizuri japokuwa alikuwa na wachezaji wa kawaida.

Wewe umeshindwa kufika fainali, tena umetolewa na Sevilla, ukiwa na beki ghali duniani (Maguire) na kiungo ghali duniani (Pogba).

Mtu kama huyo hata tukisema tumpe Messi, Mbappe, Neymar, Ronaldo.. Hana atakachokifanya, usijidanganye!
 
We jamaa banah! Unawasajilia wachezaji wa arsenal kwenye JF, li timu lako libovu na nikuambie tu, msimu ujao utaihama timu yako hahahaaa... Unatoa mi updates ya wachezaji oooh kifaa kimetua wakati wachezaji wenyewe ni huru hahahaaa...
Unaongea pumba , timu yako nzuri ndio hii iliyopigwa Jana?

Gabriel Magalhaes ni mchezaji huru?

Lille president Gerard Lopez confirms Gabriel will decide his future this week. French club have left it up to him now amid plenty of interest.

Arsenal and Man Utd target Gabriel set to decide future this week
 
Tumpe kocha muda..tumletee wachezaji anaowataka tumuangalie..

Akizingua TUMFUKUZE..!

Huu si uwekezaji mdogo
Maguire
Bissaka
Bruno
Sanchez
James

Watangulizi wake waliwaleta
Pogba
Fred
Martial
Lindelof
Matic
Belly
Luke

Anweza fika misimu 10 kila mchezaji anyesajili anashindwa kumtumia na washabiki wakaendelea kumba apewe wachezaji anaowataka.

Huwezi kuwa na Watu aina ya Pogba-Martial-Bruno-Rash-Fred ukashinda kudeliver than ukalalamikia usajili.

Kocha ameshindwa kuwatumia hao wachezaji! Nothing else.
 
Hata mimi napenda sana
, ila kule Liverpool ndio kiboko huwaga wakifungwa wao wanachambua kwa kimombo tu,
siku hizi wamepunguza...

NB:Nyumbu kama Nyumbu hawana timu, ni kundi la wakwavi tu.
Mm n shabiki wa Liverpool ila kiukwel kipigo kikitokea sijui kinatokea nn hapo n kimombo tu had siku 3 zipite hahaha
 
Yeah suala la Solkjaer kuwa mkali ni muhimu kuna wachezaji wanahitaji kuamshwa ili wajue wanachotakiwa kufanya.

Sasa hii lesz faire ya Solkjaer inaanza kumgharimu kwa wachezaji kufanya uzembe katika mazingira ambayo hutakiwi kufanya huo uzembe.

Jamaa anawatreat wachezaji wake kama ROOMMATES.
 
We jamaa banah! Unawasajilia wachezaji wa arsenal kwenye JF, li timu lako libovu na nikuambie tu, msimu ujao utaihama timu yako hahahaaa... Unatoa mi updates ya wachezaji oooh kifaa kimetua wakati wachezaji wenyewe ni huru hahahaaa...
Hahahaha

Anasajili wachezaji wa arsenal jamii forum

Hahaha dah

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sanchez alisajiliwa na Mourinho.
 
Nakazia.
 
Hata mimi napenda sana
, ila kule Liverpool ndio kiboko huwaga wakifungwa wao wanachambua kwa kimombo tu,
siku hizi wamepunguza...

NB:Nyumbu kama Nyumbu hawana timu, ni kundi la wakwavi tu.
Hahaha nikajua unatania.,
Mm n shabiki wa Liverpool ila kiukwel kipigo kikitokea sijui kinatokea nn hapo n kimombo tu had siku 3 zipite hahaha
Hadi jamaa kaja kuthibitisha
 
Yamepakatwa jana ..mapenati fc

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii timu ina wachezaji wamesajiliwa kwa pesa kubwa. Kisha wanaenda kupita mbele ya Copenhagen kwa penati.

Wanaanza game na Sevilla wanapata penati. Bruno Penalties akascore. Sevilla wakasawazisha kwa goli zuriiii halafu Pogba, Fred na Maguire wakamzunguka refa kudai lile siyo goli.

Hawakua na uhakika wa kurudisha goli ndiyo maana wakaanza kulilia lile goli likataliwe.
 
Mimi maoni yangu yanabaki yale yale toka muda mrefu. Tunahitaji wachezaji watatu kwa sasa ili kuweka timu sawa, pia timu haina kiongozi uwanjani tunapaswa kupata captain mpya, Harry ni mdhaifu sana uwanjani huoni hata akiongoza wenzie ndani ya uwanja;
  • Beki wa kati, aje kuongoza safu ya ulinzi. (must)
  • Kiungo wa chini, aje kucheza nyuma ya Paul & Bruno ile nafasi ya Nemanja. (must)
  • Mshambuliaji, wakati tuna-sort out for longterm target kwa sasa Edin Dzeko anaweza kufaa. (Necessarily but not must)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…