Kumbuka last season epl ilibeba EUROPA na UEFA champions league.Tulichojifunza ni kwamba timu yetu bado sana. OGS ni mzito mno kufanya sub. Zaidi ni kwamba EPL imeshuka sana.
Yeah sure.watani poleni sana.
There's always a next time
Ilikuwa Atletico vs Marseille final, hiyo yako sijui ilichezwa wapi2017/2018 Man Utd kachukua Europa
2016/20172017/2018 Man Utd kachukua Europa
Sio bahati kubali tu kuwa kipa wa Sevilla alikuwa vizuri na forwad wenu miguu yao inakuwa na tatizo wanapoliona goliNimeanza kuangalia ligi ya uingereza mwaka 1995 nina uzoefu wakutosha kwa ninalosema, leo Man U walifanya kilakitu kinachotakiwa kupata ushindi ila imeshindikana, kilakitu uwanjani walifanya sahihi. Ukiona kwenye soka timu inashambulia mbaka defence yote ya mpinzani inapotea inaki one against one na kipa kama nafasi tatu na bado hamfungi ujue siku umekataa.
Hiii maana yake nini? Huoni unajidhalilisha mkuu?Mmelowanishwa mbele na nyuma
Hili nalo unasimama mbele ya wanaume unaliita kombe[emoji23][emoji23]ukivuta bang* uwe unalamba na asali utakuja kunishkuruTunakodisha kombe kwa timu zote zilizokosa kunyanyua ndoo msimu huu, tukianza na nyie ManyumbuView attachment 1539679