Hakuna mchezaji aliye cheza vibaya, timu imejituma mwanzo mwisho ila Sevilla wanabahati kwa Man u, Sevila wametengeneza nafasi chache sana, man u wametengeneza nafasi nyingi ila mpira uligoma kuingia wavuni.
Mbinu za kocha zilikua sahihi timu imeshambulia sana ikabaki mpira kuingia wavuni lakini havikua siku ya Man u. Kuna siku kwenye soka inakua ivyo.