Wacha tufungwe labda viongozi watazinduka na kufanya usajili wa maana.Tumekosa goal nyingi kizembe kupitiliza.Rashfod anahitaji mchezaji wa kumkimbiza.
Bora tumefungwa timu yetu ya kawaida sana hatuwezi kubeba kombe na hawa wachezaji kina rashford sijui hawa walipaswa wawe backup na sio wacjezaji wa kuanza