Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,301
- 10,072
Kwa Mara ya kwanza naona mtu ana mapenzi na Kocha kiasi hichi.....Alishamfuata huko lakini kila siku yuko jukwaa la Man u kuleta shombo.
Ile game imepigwa Ureno, sio spainHome and away 7, mtu kawekwa 8 mechi moja tena kwake.
Iheshimu Chelsea
#CFC
Mtoto wa kiume kuwa mmbea ni tatizo,, mimi nazungumzia general principle wewe unanitajia majina, vipi umemmiss??Na moja wa makocha hao ni Mourinho
Wewe na huyo jamaa mwingine mnakuwa SI Unit za ujinga, katika post yangu ni wapi nilimtaja Mourinho??Jamaa ana mahaba na Mourinho sana..si yupo spurs,why asimfuate na atuprove wrong?
Inashangaza sana anampenda Mourinho halafu anamchukia Solkjaer kisa alipewa kazi ya Mourinho.Kwa Mara ya kwanza naona mtu ana mapenzi na Kocha kiasi hichi.....
Asa ukijiuliza kwa Mourinho anapenda nn hupati jibu.
Yupo pale Spurs anaibua vipaji mkuuMtoto wa kiume kuwa mmbea ni tatizo,, mimi nazungumzia general principle wewe unanitajia majina, vipi umemmiss??
Acha kuwashwa washwa, Man Utd is my favorite team and Mourinho is my best manager of the the times. Ukitaka anzisha timu yako ndio uwapangie watu ni kipi cha kuandika.Alishamfuata huko lakini kila siku yuko jukwaa la Man u kuleta shombo.
Unatafuta mabwana wewe.Acha kuwashwa washwa, Man Utd is my favorite team and Mourinho is my best manager of the the times. Ukitaka anzisha timu yako ndio uwapangie watu ni kipi cha kuandika.
Punguza mahaba kaka..Wewe na huyo jamaa mwingine mnakuwa SI Unit za ujinga, katika post yangu ni wapi nilimtaja Mourinho??
Tatizo letu kubwa wachezaji wa kingereza ndo wanaleta inflation pale united. Tunauabudu uingereza kuliko mahitaji ya timu.Tukubali hilo kuwa ni viazi mkuu ...
Lakini labda wao hawapigwi kutokana na kuwa Uhitaji wao sio mkubwa sana (sisi kila nafasi inashida)
Kama ni kitu kinafanyika ni sawa tuseme hivyo.Au na wenyewe huwa wanachukua 10% za usajili ?
Pale kwa maguire tulipigwa kabisa...halafu sioni sababu ya kocha kuhangaika na wachezaj wa kiingereza pale.....anapaswa kwenda ulaya mashariki na south america kuna vipaj ving sana tena kwa bei chee kabisaTatizo letu kubwa wachezaji wa kingereza ndo wanaleta inflation pale united. Tunauabudu uingereza kuliko mahitaji ya timu.
Haiingii akilini unamnunua Maguire kwa £80M wakati ulikuwa unaweza kupata option nyingine kwa nusu bei. Unamuongeza mkataba Phill Jones, unashindwa kumuuza Jesse.
Matatizo yalianza pale unapompa Rooney 250K kwa week. Kutoka hapo kila mmoja lazima atake cha juu. Hadi DeGea sasa anataka mshahara mkubwa na kuleta uzembe wa kijinga.
Management ya United ivunjwe, iletwe mpya, wachezaji washushwe mishahara. Atakaetaka kubaki abaki, anaetaka kuondoka mlango uwe wazi. Recruitment staff walete wachezaji wanaohitajika kwa bei sahihi na aletwe kocha sahihi.
Tofauti ya hapo tunageuka kuwa Liverpool mpya.
Serious mzee wangu unauliza haraka ya nini kwenye usajili?Muda wa usajili mpaka mwezi October huko haraka ya nini ?
Tutasajili tu lakini kusajili peke yake hakukupi kikosi imara unahitaji kutengeneza chemistry ya team ambayo it takes time.
Man United last season tulifika quater final kwa kikosi dhaifu kuliko hiki sasa hiki.
Tukumbuke pia timu za germany zimepata muda mrefu wa kujiandaa kuliko zingine kwa sababu ya kumaliza ligi mwezi wa sita huko.
Woodward hana haraka sasa sisi mashabiki tufanyaje?Serious mzee wangu unauliza haraka ya nini kwenye usajili?
Usiogope Man united siyo prey wa BayernHiv bayern akibeba UEFA halafu timu yetu ikibeba EUROPA ....hivi hatutakutana na dhahama kweli wakuu..maana wale jamaa ni kwikwi
Acha uoga wa kima.ma Bayern hajawahi kuwa na historia hiyo kwetuHiv bayern akibeba UEFA halafu timu yetu ikibeba EUROPA ....hivi hatutakutana na dhahama kweli wakuu..maana wale jamaa ni kwikwi
Punguza mahaba kaka..
Ole yupo kwenye wheels no matter what na ametupa confidence kiasi fulani kushinda makocha wengi post fergie japo kuwa namba bado hazijakaa sawa,there is no way tungeendelea na Mourinho wako with his boring football