Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,562
- 21,513
Bayern na Barcelona wanavita ya visasi.
Bayern 7 vs Barcelona 0
Bayern 3 vs Barcelona 5
Bayern 8 vs Barcelona 2.
Hawa jamaa hawana huruma aisee japo kipigo kikubwa kilikuwa hakikwepeki kwa Barcelona.
Bayern huwa wanacheza kutafuta magoli tu mengine kwao hayana maana hata kama wamefunga 10 wataendelea kufunga mpaka mechi itakapoisha.
Tukubali hilo kuwa ni viazi mkuu ...Kwanini David Gill hakutapeliwa?
Kwanini Madrid na Bayern wasitapeliwe?
Watu wanaohusika na recruitment ni viazi pale United.
Tuna pesa na Utajiri sawa na hizo timu mbili hapo juu, ila sisi kwenye usajili kwanini tupigwe tu?
Hatuna mahitaji makubwa sana(Price wise) ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..Tukubali hilo kuwa ni viazi mkuu ...
Lakini labda wao hawapigwi kutokana na kuwa Uhitaji wao sio mkubwa sana (sisi kila nafasi inashida)
United km vile inaongozwa na Msola au Senso, wanazingua. Kocha naye bado si classic sana ingawaje amepewa fursa ya kufanya kazi bila presha.Hatuna mahitaji makubwa sana ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..
Mfano Alcantara ameomba kuondoka Bayern na raisi wao kasema wanapokea offer..sasa kwa mchezaji kama huyu si rahisi tu kumpata..ugumu unatokea wapi?,,Liverpool wanataka kumchukua now
Brother..kwa mtazamo wangu naona tunahitaji wachezaji wa kutosha sn..Hatuna mahitaji makubwa sana ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..
Mfano Alcantara ameomba kuondoka Bayern na raisi wao kasema wanapokea offer..sasa kwa mchezaji kama huyu si rahisi tu kumpata..ugumu unatokea wapi?,,Liverpool wanataka kumchukua now
True..very true..but tupo kwny njia sahihi..i hope tutafika nchi ya ahadi siku si nyingi..Nikiiangalia bayern naona timu yetu bado ina safari ndefu sana...nikiwaona beki wa pembeni wa bayern wanavyopiga krosi halafu nikiangalia krosi zetu za bissaka na william naona bado timu yetu ni ndogo kwa sasa
Brother hili tatizo sio la DORTMUND..Ni upuuzi wa Man utd..wapo slow sanaaa..Binafsi, nashawishika kusema dili la Jadon Sancho ni bora tuachane nalo tu, naona kama hatufaai tena. Tunapoteza focus ya kujenga timu muda huu mchache tulio nao.
Laiti kama tukihamisha nguvu kutafuta vipaji vingine nje ya huyu Jadon, naona kabisa tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ligi msimu unaoanza mwezi ujao ni vile timu yetu inaongozwa na watu wazembe (Ed pamoja na washikaji zake) wanaopenda kutoa excuse kila muda. Tunakomaa na mtu mmoja tena nafsi ambayo sio mapungufu yetu halisi kwa sasa.
Sure thing..semedo akija atampa changamoto Bissaka nae ajifunze kushambulia..Tuibe wachezaji pale barca,timu inakufa ile. Yule semedo anatufaa sana maana wana dhiki sana na hela
Nimemaanisha ukiachana na Sancho ambaye price ipo juu,kwenye maeneo mengine tunaweza kupata wachezaji bila ya kupigwa hela nyingi maana sio kwamba tunatengeneza kikosi kipya,no ni kuongeza alternativesBrother..kwa mtazamo wangu naona tunahitaji wachezaji wa kutosha sn..
Imagine bissaka akiumia nani mbadala wake anayeweza kucheza VIZURI!?
Bado tunahitaji STRIKER wa kumpa changamoto Tony martial
Tunahitaji RW
tunahitaji CB mzuri mwenye speed
Tunahitaji CM au CAM ambaye ni world class wakusaidia na kina POGBA..
Fred na Mctominay hawana consistency..wanahitaji muda kujifunza zaidi.
Kimsingi kk naona tunahitaji atleast wachezaji watatu kwa kuanzia
Note;OLE wakt anakuja UTD aliwaambia board anahitaji atleast 8 new signings..mpk sshv amepewa NNE..bado anahitaji NNE zaidi ili atimize lengo lake.
True mzee..all gudNimemaanisha ukiachana na Sancho ambaye price ipo juu,kwenye maeneo mengine tunaweza kupata wachezaji bila ya kupigwa hela nyingi maana sio kwamba tunatengeneza kikosi kipya,no ni kuongeza alternatives
Na recommendation zangu nimetoa kwenye comment za juu
Na moja wa makocha hao ni MourinhoKuna baadhi ya timu zina makocha ambao hawewezi kupika wachezaji hata kidogo , zinataka wachezaji waliopikwa tayari ili kazi (kocha) iwe ni kuongoza mazoezi na kupanga namba uwanjani.
Walilipa £80mill kwa magwaya..tulipigwa hapo bila ubishi..Hivi mnauhakika kwamba Man U huwa inapigwa au kutapeliwa kweny usajili , Je kama akina Ed ndio huwa wanapiga 10% haaa simuamini Ed
Bayern kwa sasa ukiondoa Odriozola, Sule, na Boateng centre backs wao ni converted midfielders au fullbacks.Jamani Bayern pale mbele na katikati wapo moto sana ila wakicheza na timu inayoshambulia sana na wapo makini, nawaona kama Bayern wana defence mbovu ni kwa sababu so far bado defence yao haijapata serious test. Mabeki wao wa kati (David & Jerome) sio wazuri sana wana makosa sana ni vile wamecheza na watu walio-flop kwa sasa.
Nimeona kuna mtu anasema kwa nini tusichokonoe kwa Alphonso Davies, kwenye timu yetu huyu jamaa hawezi kutufaa ni mzuri sana offensively but not defensively unless tuwe tayari na timu inayoweza kukaa na mpira zaidi. Kwa uchezaji wetu hawezi kutufaa maana huwa mara nyingi hatukai na mpira sana, sisi tunahitaji aina ya wachezaji ambao wapo comfortable hata tunapokuwa hatuna mpira kwa muda mrefu.
Luke Shaw hofu yangu kwake ni injury prone tu ila anaweza kui-prove zaidi akijengwa vizuri. Bissaka anahitaji kupewa training chache tu za kushambulia ila namuona amekamilika sana akijua tu kuucheza mpira hasa hasa akivuka mstari wakati ni bonge la fullback, mapungufu yake ana mchango mdogo muda tukiwa na mpira hasa tunapovuka mstari wa wakati timu ikiwa inashambulia kutokea upande wake.
Binafsi naamini tunahitaji wachezaji watatu tu kwa sasa, Beki wa kati wa maana ambaye anapaswa kuiongoza ile safu yetu ya ulinzi acheze na Harry, kiungo wa chini wakucheza nyuma ya Bruno na Paul ile nafasi ya Nemanja. Mwisho ila sio lazima sana tunahitaji mshambuliaji wa kuja kuongeza nguvu pale mbele. Mimi kwa sasa ningependa hata tupate mkongwe mmoja kwa muda wakati tunaji-fix kupata longterm target kwa sasa tumchukue mtu kama Edin Dzeko. Deal la Sancho linapoteza focus ya kujenga timu, kuna wachezaji wazuri sana kama tukiamua kufuata other options sio lazima tumkomalie yeye tu.
Striking force yetu inahitaji reinforcement kwa kupata striker anayeweza kuwa mbadala pale kina Martial anashindwa kufunga.Jamani Bayern pale mbele na katikati wapo moto sana ila wakicheza na timu inayoshambulia sana na wapo makini, nawaona kama Bayern wana defence mbovu ni kwa sababu so far bado defence yao haijapata serious test. Mabeki wao wa kati (David & Jerome) sio wazuri sana wana makosa sana ni vile wamecheza na watu walio-flop kwa sasa.
Nimeona kuna mtu anasema kwa nini tusichokonoe kwa Alphonso Davies, kwenye timu yetu huyu jamaa hawezi kutufaa ni mzuri sana offensively but not defensively unless tuwe tayari na timu inayoweza kukaa na mpira zaidi. Kwa uchezaji wetu hawezi kutufaa maana huwa mara nyingi hatukai na mpira sana, sisi tunahitaji aina ya wachezaji ambao wapo comfortable hata tunapokuwa hatuna mpira kwa muda mrefu.
Luke Shaw hofu yangu kwake ni injury prone tu ila anaweza kui-prove zaidi akijengwa vizuri. Bissaka anahitaji kupewa training chache tu za kushambulia ila namuona amekamilika sana akijua tu kuucheza mpira hasa hasa akivuka mstari wakati ni bonge la fullback, mapungufu yake ana mchango mdogo muda tukiwa na mpira hasa tunapovuka mstari wa wakati timu ikiwa inashambulia kutokea upande wake.
Binafsi naamini tunahitaji wachezaji watatu tu kwa sasa, Beki wa kati wa maana ambaye anapaswa kuiongoza ile safu yetu ya ulinzi acheze na Harry, kiungo wa chini wakucheza nyuma ya Bruno na Paul ile nafasi ya Nemanja. Mwisho ila sio lazima sana tunahitaji mshambuliaji wa kuja kuongeza nguvu pale mbele. Mimi kwa sasa ningependa hata tupate mkongwe mmoja kwa muda wakati tunaji-fix kupata longterm target kwa sasa tumchukue mtu kama Edin Dzeko. Deal la Sancho linapoteza focus ya kujenga timu, kuna wachezaji wazuri sana kama tukiamua kufuata other options sio lazima tumkomalie yeye tu.
Au na wenyewe huwa wanachukua 10% za usajili ?Kwanini David Gill hakutapeliwa?
Kwanini Madrid na Bayern wasitapeliwe?
Watu wanaohusika na recruitment ni viazi pale United.
Tuna pesa na Utajiri sawa na hizo timu mbili hapo juu, ila sisi kwenye usajili kwanini tupigwe tu?
Jamaa ana mahaba na Mourinho sana..si yupo spurs,why asimfuate na atuprove wrong?Na moja wa makocha hao ni Mourinho
Hata mimi naliwaza hili aiseeHivi mnauhakika kwamba Man U huwa inapigwa au kutapeliwa kweny usajili , Je kama akina Ed ndio huwa wanapiga 10% haaa simuamini Ed
Alishamfuata huko lakini kila siku yuko jukwaa la Man u kuleta shombo.Jamaa ana mahaba na Mourinho sana..si yupo spurs,why asimfuate na atuprove wrong?