Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★shida tulionyesha uhitaji wa Sancho sana kitu ambacho BvB wamepatia Weakness yetu na wanafanya wanachokitaka maana vyote wanataka wanataka hela pia Sancho wanamtaka abaki★
Hili janga aisee.

Huyu jamaa spana mkononi ataweza vurugu za EPL ?
 
★Matokeo ni mbinu tu nazani Ole anajua paku mpigia huyu opponent ajae #GGMU★
Sevilla walipewa uhuru usiostahili jana, kama wangeshambuliwa wangefungwa tu.

Wolves waliheshimu kupita kiasi aisee mpaka dakika 90 no shot on target huu ulikuwa uzembe mkubwa sana.
 
★kumbe chama KUBWA MANCHESTER UNITED FC wengi wanaliogopa [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka Kocha wa Sevilla katoa ya moyoni.

Julen Lopetegui (Sevilla manager): "We are going to play against #mufc in the next match - they're the biggest team in the world but we're going to be prepared for them."★

#GGMU
manutd |
 
Mkuu yaani upo kama mchwa vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aha kumbe mko na Sevilla hahaha ngoja nifatilie kwanza kikosi Chao nione..

Kwa haraka haraka nimefatilia game yao na Wolves nimeona hamuna pa kutokea ..hata mungepewa penati kumi..

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
wapiga ramli utawajua tu sasa mikakati gani hiyo
[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Nimeona kikosi cha Sevilla kwa kweli nasema hivi mapema tu tunatangaza msiba hapa maana sioni pale mtatokea wapi...

Twende na Sevilla sasa..

Timu Sevilla tujuane mapema..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…