Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani we jamaa muoga sasa unawaogopa wolves wana nini cha maana
Katika mechi 6 dhidi ya Wolves tumefunga goli 4 na tumeshinda game 1 tu ya msimu huu.

Wanakaba vizuri na ni ngumu kuvunja ukuta wao. Hawatumii nguvu kubwa kushambulia badala yake wanakaba kuanzia kati. Kwa mechi hizi za mtoano Wolves wanakupapasa wakiona wameshindwa wanakupeleka ET hadi matuta halafu wanamsimamisha Patricio.
 
Nilikuwa sijui mzee tunaeleweshana tu..

Ok semi final mnacheza lini? Nataka nianze mikakati yangu mapema..[emoji3][emoji3][emoji3]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu yaani upo kama mchwa vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa sijui mzee tunaeleweshana tu..

Ok semi final mnacheza lini? Nataka nianze mikakati yangu mapema..[emoji3][emoji3][emoji3]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
wapiga ramli utawajua tu sasa mikakati gani hiyo
[emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…