Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Madrid watakuwa wendawazimu, wakupe Valverde, duuh!!
 
Ndombele ni mpya kwenye kikosi,Lo Celso,Bergwijin,Fernandes..rebuilding gani unayoitaka?

Kubali kuwa Mourinho naye mbinu zimeanza kumwishia..Spurs bado wanatalents nzuri tu
Kwa nini msiwatafute mnataka kusajili wachezaji kama akina Sancho? Ili tuone vizuri hivyo vipaji.
 
Man u ina squad depth kubwa kuliko spurs ???
Usiwe kama sponchi linalonyonya kila kitu pamoja na uchafu, mtu akikisikia ukisema Tottenham ina depth squad nzuri zaidi ya Man Utd ni wazi ataona una shida, ukiachana na beki zilizoflop kama Phill Jones hauna cha zaidi pale Spurs, wachezaji wawili tu Harry Kane na Son waliumia, timu ikacheza eti wanamtegea Lucas Moura awe mfungaji, huu ni utani kabisa.
 
Pochetino alifika finali ya UEFA champions league kwa magoli ya Lucas Moura pale Amsterdam au yule Lucas Moura alishahama Spurs mkuu ?
 
★Leo Rashid Makame na Martial wanacheza upuuuzi wanafanya makosa yale yale yani kuna Kaka yao Maguire anacheza fyongo mpaka inabidi Eric Bailly aingilie kutatua kero za Maguire Shoutout kwake Eric dah★
 
Guys team yetu inahitaji usajli wa maana..team yetu sio nzuri kama ambavyo baadhi yetu tunavyoamini..

Imagine mpk sshv bbado hatuja break defense ya hawa madogo..Meanwhile Intermilan amewasha moto goli mbili ndani ya dkk 25.

Man u sio nzuri kama tunavyoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…