Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Alisumbua kwa kiasi chake majuzi zidi ya JUVENTUS★
Memphis Depay anaipenda sana united lakini hata kuondolewa Kwake hakuvumiliwa tu kwa kipaji chake na mahitaji ya sasa angeweza kuwa msaada.

Sasa hivi dogo ni key man wa Olympic Lyon
 
Acha utani jombaa, tunahitaji kitasa cha maana na sio huyu bwege Chris kurejea pale na kutufanya tuwe mediocre zaidi.

Tunahitaji mtu wa kuja kumuongoza Harry pale nyuma na sio msaidizi wake. Beki aina ya Kalidou Koulibaly.
CB hawezi kusajili smalling ushaambiwa anarudi
 
PTER,
Vipi Dean Henderson ?

Huyu chalii kafanya makubwa sana msimu huu, huwa kuna muda nashindwa nimpe nani nafasi ya golikipa bora wa msimu kati yake yeye na Nick Pope. Sio jambo dogo kumaliza na clean sheet 13 ktk mechi 36 ndani ya msimu wake wa kwanza EPL kwa timu iliyopanda daraja, binafsi bila kuwa ktk denial mindset ya sisi mashabiki wa Manchester Utd pamoja na benchi la ufundi kuwa David Degea ameisha ilipaswa huyu Dean arejee kikosini kama goli namba moja kwa sasa.

David ubora wake ulianza kushuka tokea mwaka 2018 kombe la dunia tokea hapo hajawahi kuwa na performance consistency, amekuwa ni golikipa mwenye makosa mengi sana. Hili sakata linanikumbusha ilipowachukuwa muda mrefu sana Real Madrid kuamini kuwa Iker Casillas ameisha na kwetu naona likitutokea pia.

Dean Henderson ndiye golikipa aliyeruhusu magoli machache msimu huu amefungwa goli 33 tu ktk mechi 36 alizokaa golini, mechi zetu sisi na Sheffield tuliwafunga goli 6 hakucheza kutokana na sheria. Sheffield United walipanda daraja mwaka jana, msimu huu wamezidiwa na timu tatu tu za juu kwa kuruhusu wavu wao kutikiswa yaani wamezidiwa na Livepool (33), Man City (35) na Man Utd (36). Timu ambazo magoli kipa wao wanalindwa na mabeki wenye thamani zaidi ya $ 150M kwa kila timu.
 
Mtazamo wangu naona Dean Henderson anadeserve hii tuzo,

Ningekuwa mini ningeweka hivi.
1 Dean Henderson
2 Alexander Anold
3 Mason Greenwood
4 Mason Mount.
 
PTER,

Trent msimu huu kafanya makubwa sana hata ktk timu yao ya Liverpool kwangu mimi namuona ndiye mchezaji bora wao wa msimu. The funny fact kuhusu huyu jamaa he's improving zaidi kila msimu.

Ktk hiyo orodha ya wachezaji bora vijana odds zinambeba Trent. Katoa mchango mkubwa sana ktk ubingwa wa Liverpool msimu huu. Amefunga goli 4 na kutoa assists 13, Kwa nafasi ya beki hizi takwimu sio mchezo. Amezidiwa kwa assists na Kevin De Bruyne pekee msimu huu mwenye assists 20.

Sina hakika kama kuna beki duniani amewahi kutoa assists zaidi ya 13 ndani ya msimu mmoja.
 
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.
Hakuna timu inayochukua ubingwa bila ujanja ujanja wa mwalimu mkuu.
 
Wakuu mmeona ile clip iliyovuja ya OLE !? inamuonesha akiwa anazungumza LIKELY kuhusu ishu ya Sancho kwamba jamaa wanataka pesa nyingi but hilo swala watalishughulikia...pia inamuonesha akisema neno TUESDAY mwishoni mwa maneno..

Wadau wanahisi ni SANCHO-centric Convo..anywy lets wait and see.

Source;twitter.
 
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.
Timu iliyoingia final ya UCL msimu uliopita eti haina wachezaji wa kutosha..hahahaha just hahahaha

Unapenda kweli kumdefend Mourinho..
 
Naona kuna mjadala wa Young player of the season..

Kimsingi TRENT atabeba hii tuzo lakini GREENWOOD na HENDERSON wana-Deserve kuliko TRENT..kwanini!?

Simply GREENWOOD(18years) huu ndio msimu wake KAMILI wakwanza na hakuna mtu mchezaji wa umri wake across EUROPE 5 MAJOR LEAGUES ambaye ana magoli kama yake..simply dogo ame-breakthrow na Ana deserve hiyo tuzo.


TRENT-ALEXANDER ANOLD

Bila unafiki Huyu dogo ni moto lakini Ameanza senior career tangu 2015(misimu kama mitano hivi;Kulingana my Internet source hapa)
Hivyo huyu anaExperience kubwa ukilinganisha na Greenwood.

So Hii tuzo TRENT atabeba lakini Greenwood anadeserve.
 
Tuwekee tuone mkuu
 
Timu iliyoingia final ya UCL msimu uliopita eti haina wachezaji wa kutosha..hahahaha just hahahaha

Unapenda kweli kumdefend Mourinho..
Msimu uliofuata ikafungwa 7 na Bayern na mzunguko wa kwanza wa ligi ikiwa ni ya 14 chini ya kocha na wachezaji wale wale, jiulize bado kama kulikuwa na timu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…