Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Solkjaer hatakuwa tayari kumwachia Daniel James aondoke kwa sababu ya uhitaji wake anapotaka kucheza counter attack.

Lakini toka tumrudi kutoka kwenye corona kuna badiliko kidogo kwenye uchezaji wetu badala ya kucheza deep na kusubiri tufanye counter attack tunakaa sana na mpira na kudominate uwanjani sasa kina Daniel James wanakuwa hawana matumizi tena.
 
Dortmond ni wahuni sana, halafu wanajidai wana msimamo lakini hamna kitu

Kwenye dili la Dembele walidai £135M upfront, lakini matokeo yake wakapata £96M upfront, halafu nyingine zikawa ad ons... Ambazo nadhani nyingi hazijalipwa sababu ya Dembele kutofikia malengo hasa kutokana na majeruhi. Huyu Dembele wakati huo alikuwa amebakiza miaka 4 kwenye mkataba wake, akafanya drama kidogo, ikabidi Dortmond wamuachie.

Ed sio mjinga, kwa mashabiki tunataka hela ilipwe haraka ili Sancho awe mali yetu, bila kujali ni kiasi gani. Lakini board ya United hawapo naive kiivyo, watatumia vichwa vyao kufanya maamuzi na si mioyo yao.

After all board wanajua dirisha kufungwa ni mpaka October 5, Sancho anataka kwenda United na imebaki miaka 2 mkataba wa Sancho uishe. United tunahitaji Sancho afanye drama kidogo ili kuwasukuma Dortmund wamuuze. Msimu huu wa Corona sio kipindi cha kutaka kupiga watu bei unreasonable.

Townsend mchezaji wa sasa wa Cristal Palace anaamini kwa kiwango cha Sancho (potential Ballon Dour winner) hiyo bei ni reasonable . Lakini kwa soko la sasa wachambuzi wengi wanaamini Sancho ana thamani ya in between £85M mpaka £100M.

Ilikuwa inasemekana leo tarehe 7 ilikuwa ndio mpango wa United kutangaza Sancho 7 ambapo jezi namba 7 hivi karibuni imeachwa moja kwa moja baada ya Sanchez kuhamia Inter Millan. Unajua United inayofanyia marketing kila kitu.


Lakini kwa kimya cha hizi siku mbili tatu, dalili zinaonesha mashabiki tunapaswa kuwa wavumilivu. Kwa timu nyingine, wanaweza kufanya dili mbili au tatu kwa wakati mmoja, lakini kwa bahati mbaya, kwa United yetu inaonesha inabidi mpaka dili la Sancho likamilike ndio tuangalie wachezaji wengine.

Patience is all that needed, patience is all that fans lack
 
Ila tuende mbele turudi nyuma hili dili ya kumsajili Sancho ni lazima liwe na ugumu wa hapa na pale..haliwezi kukamilika tu kwa wiki moja,na tena timu yenyewe ni BVB
 
✓Anthony Martial

✓Marcus Rashford

✓Mason Greenwood

✓Dean Henderson (On-Loan)

Wote hawa wapo kwenye kinyanganyiro cha best young player na wachezaji wa timu nyingine kama Mount na Pulisic'

I will go with Anthony Martial..Lakini pia Greenwood ameproduce something special na ni youngest kwenye hiyo list so akipewa yeye itamake sense zaidi
 
I will go with Mason, huyu kid Ni fire,,,,ila stats zitammbeba Anthony,,, umri pia unaweza kummbeba Mason,,,let's see
 
Greenwood or Dean Henderson
 
Greenwood is my choice! √
 
★Everton boss Carlo Ancelotti is hoping to sign Manchester United's Diego Dalot for just £10m.

The defender has struggled for minutes on the pitch this season under Ole Gunnar Solskjaer.★

#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…