We jamaa nae bhana watu si wanamuita tu kutokana na umbile lake pamoja na michezo yake ya kudansidansi unashindwa hata kujiongezaLingard co dogo wakuu, ni mkubwa kuliko pogba, ni mkubwa kuliko Bruno, ni mkubwa kuliko Bissaka, nahisi pia atakuwa mkubwa kuliko Maguire, ss huo udogo ni kwasabu ya kiwango auu?
Nilikuwa nakumbushia tu.We jamaa nae bhana watu si wanamuita tu kutokana na umbile lake pamoja na michezo yake ya kudansidansi unashindwa hata kujiongeza
Lingard co dogo wakuu, ni mkubwa kuliko pogba, ni mkubwa kuliko Bruno, ni mkubwa kuliko Bissaka, nahisi pia atakuwa mkubwa kuliko Maguire, ss huo udogo ni kwasabu ya kiwango auu?
We jamaa nae bhana watu si wanamuita tu kutokana na umbile lake pamoja na michezo yake ya kudansidansi unashindwa hata kujiongeza
Kwenye soka la ss miaka 28 ni mingi, lkn pia hata kwenye maisha ya kawaida miaka hyo mtu co dogo japo najua unaweza kuitwa dogo na mtu aliyekuzd umri but hili la lingard kuitwa dogo nadhani limekaa tofauti kdg, me nadhani ni kutokana na umbo lake lkn pia jinc yy mwenyewe anavyojiweka na pia kutokukuwa kwake kisoka.Kitu kidogo wadau wanafanya big deal
Kuna mdau mwingine pia hapo juu alipinga eti Lingard sio dogo
Sasa naona kila mtu anaongelea kuwa Lingard sio mdogo, kana kwamba umri wake haujulikani
Wale madogo wa Nuno Espirito Santo tuwe nao makini sana kwenye kombe hili huenda wakafanya vizuriKitu kidogo wadau wanafanya big deal
Kuna mdau mwingine pia hapo juu alipinga eti Lingard sio dogo
Sasa naona kila mtu anaongelea kuwa Lingard sio mdogo, kana kwamba umri wake haujulikani
Mbn Bruno Fernandes humuiti dogo japo umemzd umri, mbn pogba pia humuiti dogo, so tuseme tu kwamba hyo kasumba ya lingard kuitwa dogo imejengeka hivyo na itaendelea kuwa hvyo hata atakapofikisha miaka 30.Kitu kidogo wadau wanafanya big deal
Kuna mdau mwingine pia hapo juu alipinga eti Lingard sio dogo
Sasa naona kila mtu anaongelea kuwa Lingard sio mdogo, kana kwamba umri wake haujulikani
Mbn Bruno Fernandes humuiti dogo japo umemzd umri, mbn pogba pia humuiti dogo, so tuseme tu kwamba hyo kasumba ya lingard kuitwa dogo imejengeka hivyo na itaendelea kuwa hvyo hata atakapofikisha miaka 30.
Wale madogo wa Nuno Espirito Santo tuwe nao makini sana kwenye kombe hili huenda wakafanya vizuri
Nadhani ntapata tabu sana kukuelewesha concept yng ilipo na ndiyo maana nikasema kwa soka la ss ukifika miaka 25 co dogo tena na ukifika 30 rejesta ya kisoka unaitwa mzee, kuhusu tm pinzani kuitwa madogo co kwmb hapo unamaanisha wachezaji bali unamaanisha tm, na ndiyo maana unawaita madogo mfano wolves unaeza kuwaita madogo but individually huwez kumuita dogo Ricardo yule kipa wao. Ok tuyaache hayo naona haina mantiki hii mada.Nimeshatoa maelezo hapo juu
Huu mjadala nafikiri unatupotezea muda tu
Kimichezo kuna majina kama dogo nimekwambia yanatoka, hata timu ya jana nilikuwa na jamaa yangu akasema wale madogo tutawapiga nyingi, does it mean ni wadogo kiumri?
Tunamuita Mata mzee/babu, je Mata ni mzee? Au Ronaldo na Messi wameshazeeka, je ni kweli wamezeeka?
Wale madogo huwa wanakichafua sana, leo Olympiacos lazima wamtoe kamasi.
Kabisa tuwe nao makini, wasije wakawaabisha wazee wazima wa OT (Greenwood mzee mzima)
Wale madogo huwa wanakichafua sana, leo Olympiacos lazima wamtoe kamasi.
DJ kaflop vibaya, anahitaji ushauri nasaha, ni km saivi anababaika kutaka kurudi lakini hajafanikiwa, anakosa utulivu, hawezi fanya maamuzi wakati mwafaka n.kChong asaivi kashakuwa ...utulivu anaujua kocha ampe games aachane na Daniel James
Bailly anacheza km askari aliye vitani, sijui ndiyo kupigania namba. Mtu anashoot yeye anatia kichwa dah! Ila akitulia ni kitasa cha uhakika, sema hana confidense, mwoga wa lawamaDaniel James sijui kama atarudi kuproduce vitu kama alivyoanza msimu..
Mata bhana..uzee ushammendea,sema ametupa assist mbili.
Bailly nikimuangaliaga naona ni beki kitasa lakini ndani ya sekunde chache unasema tena huyu beki ni level za Gwambina Fc
Lingard ameonyesha uhai kidogo leo
Germany,Here we come
Kwa mtiti wao sioni mtu wa kuwatoa zaidi ya Sevilla, Man united au Inter Milan.Madogo wanapiga counter attack za hatari
Bora watolewe mapema, kuondoa usumbufu wa kujuana
Kwa mtiti wao sioni mtu wa kuwatoa zaidi ya Sevilla, Man united au Inter Milan.
Sevilla huwa wanabahati sana na Europa league tukikutana nao itabidi tuwe serious sana maana timu nyingi za Spain huwa zinatusumbua sana.Jamaa wazuri sana
Ila kwa kikosi chetu, labda inter ndio anaweza kutusumbua
Natamani angepata confidence na kupunguza kutumia nguvu sana aingie kwenye kikosi cha kwanza..Pia yupo vizuri akiwa na mpiraBailly anacheza km askari aliye vitani, sijui ndiyo kupigania namba. Mtu anashoot yeye anatia kichwa dah! Ila akitulia ni kitasa cha uhakika, sema hana confidense, mwoga wa lawama
Sevilla huwa wanabahati sana na Europa league tukikutana nao itabidi tuwe serious sana maana timu nyingi za Spain huwa zinatusumbua sana.
Kwa Wolves labda wasiende na form yao waliokuwa nayo kwenye ligi wakienda na moto waliomaliza nao huenda wakafika finali.