Mara ya mwisho Arsenal kucheza UCL ilikuwa lini ?Japo nakubaliana na wewe, Ila Manchester haipo kwenye level ya kuicheka Arsenal kwa sasa. Haujabeba Epl since 2013 ni miaka 7 hiyo.Haya mambo huanza hivihivi unakuta miaka 20 imefika.Nina uhakika unajua msimu ujao huna uwezo wa kuchukua na akina Maguire na De Gea.
Level zako Ulaya ni EUROPA unajua hilo.Ukibahatika kufika round ya 2 UEFA ukikutana na akina Bayern unajua fika unatoka.
Arsenal na Man kwa sasa hakuna wa kumcheka mwenzake tumebaki kuhangaika na Europa na FA.
Na hata hiyo FA inawashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Japo nakubaliana na wewe, Ila Manchester haipo kwenye level ya kuicheka Arsenal kwa sasa. Haujabeba Epl since 2013 ni miaka 7 hiyo.Haya mambo huanza hivihivi unakuta miaka 20 imefika.Nina uhakika unajua msimu ujao huna uwezo wa kuchukua na akina Maguire na De Gea.
Level zako Ulaya ni EUROPA unajua hilo.Ukibahatika kufika round ya 2 UEFA ukikutana na akina Bayern unajua fika unatoka.
Arsenal na Man kwa sasa hakuna wa kumcheka mwenzake tumebaki kuhangaika na Europa na FA.
Unazungumzia Mara ya mwisho kucheza? Mbona huzungumzii nimecheza miaka mingapi mfululizo bila kukosa?Mara ya mwisho Arsenal kucheza UCL ilikuwa lini ?
Man United alicheza UCL 2018-2019 akaishia quater final.
Nakumbuka the last time Arsenal kacheza UCL alitolewa na Borussia Dortmund kwenye round of 16 timu ambayo before isingeweza kuitoa Arsenal kwenye UCL.
Na hata hiyo FA inawashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe si ulipigwa na kina Estana[emoji23][emoji23][emoji23] habari zako tunazo, ni vile tunashindwa kukucheka kwasababu tunashare levels kwasasa, ila soon ntaanza kukuzodoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya mwisho Arsenal kucheza UCL ilikuwa lini ?
Man United alicheza UCL 2018-2019 akaishia quater final.
Nakumbuka the last time Arsenal kacheza UCL alitolewa na Borussia Dortmund kwenye round of 16 timu ambayo before isingeweza kuitoa Arsenal kwenye UCL.
Hana hoja huyo kafilisika kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazungumzia Mara ya mwisho kucheza? Mbona huzungumzii nimecheza miaka mingapi mfululizo bila kukosa?
Au miaka mingapi sijatoka nje ya top four.
Kwa sasa Manchester na Arsenal ni matajiri tuliofilisika, tumebaki na historia na story tu.Toka 2013 unajilinganisha nini na Man City au Liverpool kwa mafaniko ndani ya Uwanja?
Labda uweke vikombe ubwabwa.
Ukweli ni kwamba Man United naye hayuko kwenye hali yake ya zamani lakini occasionally amekuwa akitokea kwenye mashindano makubwa.Japo nakubaliana na wewe, Ila Manchester haipo kwenye level ya kuicheka Arsenal kwa sasa. Haujabeba Epl since 2013 ni miaka 7 hiyo.Haya mambo huanza hivihivi unakuta miaka 20 imefika.Nina uhakika unajua msimu ujao huna uwezo wa kuchukua na akina Maguire na De Gea.
Level zako Ulaya ni EUROPA unajua hilo.Ukibahatika kufika round ya 2 UEFA ukikutana na akina Bayern unajua fika unatoka.
Arsenal na Man kwa sasa hakuna wa kumcheka mwenzake tumebaki kuhangaika na Europa na FA.
Leicester ana nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe timu yako ingekuwa hata ina uwezo wa Leicester City, nadhani ungepiga watu makofi [emoji23]
Na ma Jukwaa ya timu zote yangekukoma[emoji1787]
Sajili za pesa ndefu zingekuwa ndio tija ya mafanikio basi musingesota mpaka leo,, barca nao? Mkuu mi naona ungepumzika kidogo maana ukiendelea kuongea unajidhalilisha tu... Msimu huu timu zilizofanikiwa ni 3 tu hapo England, wewe utabaki kuwa mpiga keleleUkweli ni kwamba Man United naye hayuko kwenye hali yake ya zamani lakini occasionally amekuwa akitokea kwenye mashindano makubwa.
Kuhusu transfer Man united nao kuhusu kuvutia vipaji imepungua lakini financial muscles zao zinawapa uwezo wa kusajili wachezaji wanaowataka.
Hali ya matokeo uwanjani kwa Arsenal imegeuka kuwa hali ya kawaida Arsenal kufungwa na timu kubwa au ndogo siyo habari tena ushindi kwa Arsenal sasa hivi ni bahati tena siyo uwezo wa team. So sad.
Kilichoziangusha hizi timu Arsenal imeanguka kwa kukosa mwalimu sahihi ila wachezaji wazuri bado wanazalisha kama ilivyokuwa zamani.
Kilichowaangusha Man united ni kukosa succession plan nzuri iliyopelekea recruitment mbovu ya benchi la ufundi na wachezaji kwa miaka 6 mfululizo.
Tuendelee kuwa wavumilivu mpaka tutakapouona tena mkono wa bwana.
Kombe la FA lilishakuwa kombe la Arsenal hivyo siyo suala la ajabu kutwaa.Mkuu mi naona ungepumzika kidogo maana ukiendelea kuongea unajidhalilisha tu... Msimu huu timu zilizofanikiwa ni 3 tu, wewe utabaki kuwa mpiga kelele
Liverpool PL[emoji471]
Arsenal FA[emoji471]
City kombe la ligi[emoji471]
Sasa ni vema ukakaa kwa kutulia, kwanza saa saba mchana kuna kikao cha mabingwa.
Mwenyekiti: Liverpool
Katibu: Arsenal
Man city: Mjumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtuache kidogo tuandae ajenda za kikao
Toka ulipotoka huko hujawahi kurudi tena.Unazungumzia Mara ya mwisho kucheza? Mbona huzungumzii nimecheza miaka mingapi mfululizo bila kukosa?
Au miaka mingapi sijatoka nje ya top four.
Kwa sasa Manchester na Arsenal ni matajiri tuliofilisika, tumebaki na historia na story tu.Toka 2013 unajilinganisha nini na Man City au Liverpool kwa mafaniko ndani ya Uwanja?
Labda uweke vikombe ubwabwa.
ahsante sana brother kwa uchanganuzi wako,Kutengeneza tatizo halafu unalitatua
Inter ndio wamefaidika kwenye hilo deal
1.Sanchez kacheza kwa mkopo Inter for free(hakukuwa na loan fee) na majority ya mshahara wake ulikuwa unalipwa na United
2.Baada ya kutoka majeruhi Sanchez ameanza kurudi kwenye form (4goals &8 assist) in Serie A kwenye mechi 22 alizocheza so kwao wanapata mchezaji atakayewasaidia
3.Sanchez amekubali kupunguza mshahara hadi Euro 7m kwa mwaka
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
nadhani market value ya alex sanchez ilikuwa ni kubwa zaidi ukilinganisha na value ya henrikh mkhitaryan ndio maana upande wa wakala wake aliutumia udhaifu huu kwenye negotiation.Sio kila biashara huwa inatiki, nyingine ni bora kukubali nusu hasara
After all Ed hakulipa hata senti alipomtoa Arsenal
Mkuu kuwa sensible kidogo...msimu wenu ndio umeisha..wa kwetu bado sana..!!At the end, msimu umeisha kila mtu aoneshe alichopata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji471][emoji3581]
Acha kupiga kelele wakati huko BvB munalialia mlipe kwa installements[emoji24]
Kama mna pesa si mngefungua pochi[emoji23][emoji23]
Vipi Ighalo mmelipa ngapi vile?
Sanchez anawatoa povu huko, kawapiga za kutosha, nyie ni watu wa kupigwa....
Na next season unakaa tena home and away[emoji23]
Onesha ulichopata msimu huu kama ni empty basi huu uliotype hapa ni utopolo tu
Huwezi kuwa serious we jamaa..mkoani kwenu mnatumiaga uzi kama huo kukimbizia mwenge!?Ni utani au? Jezi kama shati la Mwenge unaiita motoooo?
Leicester ana nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuchekesha mzee mwenzangu
[emoji471]?Leicester anajipanga msimu ujao aondoe gape lake na Chelsea na United
Arsenal anajipanga aondoe gape lake na Wolves
Ndio nini sasa? [emoji23][emoji23]Kwahiyo hilo ndio limekufanya utolewe makusudi nusu fainal?Kombe la FA lilishakuwa kombe la Arsenal hivyo siyo suala la ajabu kutwaa.
Wigan alitwaa kombe hilo na akashuka daraja