*** you Charlie Nicholas with your grade C+
Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.
This guy real hates United
View attachment 1521648
Ana kejeli huyo, sio Man U★ko tusisajir??★
Jamaa kilaza sana...na ana nongwa sana na UnitedCharlie Nicholas ni kilaza mmoja aliyevamia fani ya uchambuzi
Kama namba 3 ni C+, namba 8 au 9 au 10 atakuwa Z?
Jamaa kilaza sana...na ana nongwa sana na United
Huwezi kusema tulikuwa mabovu throughout the season.
Man united haifanyi usajili kwa kukimbizana na plastic clubs kama Chelsea na Man city mkuu.Man utd ni kati ya timu kubwa duniani..i love this club lakini ni moja kati ya timu zenye RECRUITMENT DEPARTMENT mbovu duniani.
Kutokana na hilo ndo maana kila mchezaji tunayegusa anakuwa EXPENSIVE sana just because wanajua hatujielewi..
Transfer window imefunguliwa na unaona kbs team yetu inavyohitaji wachezaji wengi wapya(RW,CB,ST,CM) lakini utashangaaa tutaspend huu mwezi wote kunegotiate deal ya Sancho na sehemu zingine muhimu zinasahaulika until its too late!!
Angalia MAN CITY au CHELSEA hawa ni rivals wetu na wana recruiter mzuri sn
Mfn leo naona CITY wameshaweka dau kwa NATHAN AKE wakt MAN UTD tumezubaa tu km mafala..
Note;
Kwa style hii mbovu ya recruitment tutajikuta tunatumia miaka hd 10 kutwaa EPL kwa sababu hatyko serious kbs.
Ugiligili.
Unakuwa kama vile umeanza kushabikia united kipindi Bruno kasajiliwa mkuu.Kimsingi kwa sasa naacha kufuatilia tetesi za usajili za man u cuz kila siku utasikia tunamtaka mtu huyu na yule lkn huoni progress..stress tupu.!
Unakuwa kama vile umeanza kushabikia united kipindi Bruno kasajiliwa mkuu.
United huwa inahusishwa na kila mchezaji wa dunia hii hata kama united hawamjui hata mchezaji husika.
Ana kejeli huyo, sio Man U
*** you Charlie Nicholas with your grade C+
Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.
This guy real hates United
View attachment 1521648
Unakuwa kama vile umeanza kushabikia united kipindi Bruno kasajiliwa mkuu.
United huwa inahusishwa na kila mchezaji wa dunia hii hata kama united hawamjui hata mchezaji husika.
Hata nikisikia Man united imehusishwa na Morisson sitashangaa sana maana kuna vitu vya ajabu sana huku kwenye media kuhusu United.Principle yangu
Nafuatilia kwa karibu tetesi za Man Utd kutoka Skysports, BBC na Manchester Evenings
Wengine siwapi uzito wowote
Sure sisi huwa tunahusushwa na kila mchezaji★Asishangae akija kuona hata Kelvin Yondani anahusishwa na usajiri kuziba pengo la mtu flan hapo United★
Hata nikisikia Man united imehusishwa na Morisson sitashangaa sana maana kuna vitu vya ajabu sana huku kwenye media kuhusu United.
Yaan nimekumbuka usajili wa bruno jinsi ulitutesa naona itakua kwa sancho pia.
Kuna nonses nyingi sana
January pekee United alikuwa connected na wachezaji zaidi ya 100
Lakini tulisajili 3 tu
Sio kweli fabrizio hajareportRaul JimenezView attachment 1522036