Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jiulize, Sasa wewe umejuaje kama Mou angekaa 20yrs chelsea angechukua zaidi ya hizo alizochukua??
Ukizingatia alitimuliwa?!!!
Au una uhakika gani kama Pep atachukua tena kombe, zaidi ya hivyo alivyo navyo?
Labda kama umekuwa mpiga ramli,

Ukiwapanga makocha waliofanikiwa ENGLAND unamwachaje Prof???
 
Unapotaja list ya meneja waliofanikiwa EPL huezi mwacha Prof haijalishi katumia muda gani cha msingi kapata nini,

Acheni story za kusadikika, alafu nilichogundua huna unachokijua kuhusu huyu mzee ktk history ya hapo England
 
Hoja hupingwa kwa hoja nimekwambia Wenger katua England 1996, makombe ya epl aliyoshinda ni ma3 kati ya hayo ni kikosi kimoja tu ndo alikiunda yeye mwenyewe japo co chote yn kiuhalisia Wenger ana taji moja tu la epl ila kwa heshima ya statistics huwa tunasema ma3, unaniambia cna cna nnachojua kuhusu Wenger je ni kipi hicho nsichojua ndo nakusubiri unikosoe kwa hoja, ila pole sn cz nahisi umeumia sn kuujua ukweli huu
 
City washaanza kuingia sokoni

✓Two deals are about to complete..Torres wa Valencia na Ake wa Bournemouth

Tusilaze damu na sisi,tukamilishe hizi deals mapema,wachezaji wawe pamoja kwenye pre season hata kama ni fupi
 
Man utd ni kati ya timu kubwa duniani..i love this club lakini ni moja kati ya timu zenye RECRUITMENT DEPARTMENT mbovu duniani.

Kutokana na hilo ndo maana kila mchezaji tunayegusa anakuwa EXPENSIVE sana just because wanajua hatujielewi..

Transfer window imefunguliwa na unaona kbs team yetu inavyohitaji wachezaji wengi wapya(RW,CB,ST,CM) lakini utashangaaa tutaspend huu mwezi wote kunegotiate deal ya Sancho na sehemu zingine muhimu zinasahaulika until its too late!!

Angalia MAN CITY au CHELSEA hawa ni rivals wetu na wana recruiter mzuri sn
Mfn leo naona CITY wameshaweka dau kwa NATHAN AKE wakt MAN UTD tumezubaa tu km mafala..

Note;
Kwa style hii mbovu ya recruitment tutajikuta tunatumia miaka hd 10 kutwaa EPL kwa sababu hatyko serious kbs.

Ugiligili.
 
Sisi Man united hatuhitaji kusajili tena kikosi chetu ni kipana sana, tunaweza kuchukua uefa msimu ujao kabisa

Pogba, bruno, rashford, Martial, hawa wanaweza kutupa epl, uefa, fa hata calabao

Ole kashaliona hilo
 
★ko tusisajir??★

hii ni Sarcasm
 
Ni ngumu sana mkuu

Hizo deals, hayo ni masaa ya negotiations, hizo ni wiki za kujadiliana bei za wachezaji mishahara yao n.k.

Man anatazamiwa kusajili minimum wachezaji 3, maximum 4....zote hizo ni negotiations na wahusika ni wale wale

Ingekuwa tunawaachia tu hao wachezaji ingewezekana, lakini sio rahisi kiivyo
★Times wanasema katika dirisha hili la msimu wa majira ya Joto MANCHESTER UNITED itawatoa kakribani wachezaji 8 mpaka 9 #GGMU★

manutd | View attachment 1521232
 
Uzoefu unaonesha huwa tunachukua wiki 6 kukamilisha dili moja

Rejea usajili wa AWB, Maguire na Fernandez, kila mchezaji ilichukua wiki 6

Ed kwenye transfer yupo very skow
City washaanza kuingia sokoni

✓Two deals are about to complete..Torres wa Valencia na Ake wa Bournemouth

Tusilaze damu na sisi,tukamilishe hizi deals mapema,wachezaji wawe pamoja kwenye pre season hata kama ni fupi
 
★Sky Sports | Manchester United monitoring Lille's player of the year Gabriel Magalhaes. He's a 22-year-old centre-back his price is in the region of £20m.★

manutd |
 
*** you Charlie Nicholas with your grade C+

Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.

This guy real hates United

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…