Huyu dogo alitakiwa na united 2014 akagoma kuja why now?Kuna rumours kwamba UTD wanamtaka JAMES RODRIGUEZ wa madrid na wanajiandaa kuweka dau la £25MILL
MY TAKE; aje tu ila gharama isizidi £30mill maana tunahitaji squad depth.
Co kweli eti anacheza Aston Villa kisa ana kiwango kdg, cr7 alitokea sporting lisbon je alikuwa na kiwango kdg? Bruno katokea huko huko sporting unasemaje? Vp Rooney alitokea tm kubwa? Mchezaji kutokea tm ndogo co kwamba ana kiwango kdg hapana bali inategemea na mazingira, ww km humuelewi sema simuelewi, af FYI ni kwamba Aston Villa ndo tm iliyomlea Grealish.Sijawahi kumuelewa mtu anaemuweka Grealish kwenye list ya wachezaji wa kununuliwa na United.
Huyu mchezaji yupo average sana. Na anacheza Aston Villa kwa sababu ana kiwango kidogo.
Simtaki hata kumckia unajua mm hata Sanchez ckupenda aje UTD cz alikataa enzi zile akaenda Barca leo kachoka ndo aje kufia huku.Huyu dogo alitakiwa na united 2014 akagoma kuja why now?
Bruno na CR7 tumewapata kwa right price na Sporting Lisbon ni timu kubwa Ureno. Aston Villa inapambana kushuka daraja EPL.Co kweli eti anacheza Aston Villa kisa ana kiwango kdg, cr7 alitokea sporting lisbon je alikuwa na kiwango kdg? Bruno katokea huko huko sporting unasemaje? Vp Rooney alitokea tm kubwa? Mchezaji kutokea tm ndogo co kwamba ana kiwango kdg hapana bali inategemea na mazingira, ww km humuelewi sema simuelewi, af FYI ni kwamba Aston Villa ndo tm iliyomlea Grealish.
Na James Rodriguez kwa sasa bora ubaki na Pereira kashindwa kufanya vizuri ligi laini laini huku premier league hawezi.Simtaki hata kumckia unajua mm hata Sanchez ckupenda aje UTD cz alikataa enzi zile akaenda Barca leo kachoka ndo aje kufia huku.
Hahaha mkuu Grealish kakufanya nini,Ni kama ARV na Martial hahaha.Bruno na CR7 tumewapata kwa right price na Sporting Lisbon ni timu kubwa Ureno. Aston Villa inapambana kushuka daraja EPL.
Grealish ana nini cha zaida cha kununuliwa kwa £80M? Au uuziwe Sancho kwa £130M kwa lipi??
Donny Von De Beek ni cheap options na ya uhakika zaidi.Tukimchukua Grealish tunapigwa tena, Aston Villa wata-take advantage ya kubaki Premier League kupiga pesa. Kuliko kumchukua Grealish kwa £80 ni bora tufufue dili la Brooks (Bournemouth) Umri mdogo (23) na pesa ndogo, hazidi £25 ukizingatia wameshuka daraja, ni bora kubet hapo kuliko kwa Grealish. Msimu wake wa kwanza akitokea Sheffield United ali-perform vizuri. Msimu huu majeruhi yaliathiri kiwango chake na hakucheza karibia msimu mzima ila bado aliporudi baada ya break ya Covid-19 ali-manage kupata goli moja. Ni Premier League proven. Kumpata huyu bado dili la Sancho linapaswa kushughulikiwa, tupate na CB na Striker, msimu tutauanza vizuri sana.
Kwahiyo Maguire katoka timu kubwa England na kwa right price?Bruno na CR7 tumewapata kwa right price na Sporting Lisbon ni timu kubwa Ureno. Aston Villa inapambana kushuka daraja EPL.
Grealish ana nini cha zaida cha kununuliwa kwa £80M? Au uuziwe Sancho kwa £130M kwa lipi??
And he committed more errors leading to goals than all but one premier League goalkeepers!
Man utd ilikuwa hovyo sana kipindi kile..hakuna top talent player angeweza kuja..Huyu dogo alitakiwa na united 2014 akagoma kuja why now?
unakosea Kumlinganisha james Rodriguez na perreira..hawalingani.Na James Rodriguez kwa sasa bora ubaki na Pereira kashindwa kufanya vizuri ligi laini laini huku premier league hawezi.
Mkuu umepotea sana humu,au ndo mambo ya kina sanchez na covid 19.And he committed more errors leading to goals than all but one premier League goalkeepers!
Mkuu nawaachia kizazi kipya,soka inabadilika mawazo yetu yanakuwa ya kizamani kidogo.Mkuu umepotea sana humu,au ndo mambo ya kina sanchez na covid 19.
Sidhani kama alikuwa top talent ya kufikia kugoma kuja united.Man utd ilikuwa hovyo sana kipindi kile..hakuna top talent player angeweza kuja..
Hata Toni kroos tulimtaka ila madrid walipojitokeza akatupotezea..
Bora Pereira kuliko James Rodriguez kwa sasa.unakosea Kumlinganisha james Rodriguez na perreira..hawalingani.
Hajanifanya chochote mkuu.Hahaha mkuu Grealish kakufanya nini,Ni kama ARV na Martial hahaha.
Hela ya Grealish unampata Partey na VDB na chenji inabaki.Donny Von De Beek ni cheap options na ya uhakika zaidi.
Wapi nimesema tumemchukua Maguire kwa right price?Kwahiyo Maguire katoka timu kubwa England na kwa right price?