Ila we jamaa nakupatia picha, utakuwa na ugonjwa wa kimenomeno na kiujumla mchafumchafu flaniNyumbuPENATI
Tunae goolkeeper yupo Kwa mkopo ..sancho yuppo kweny radar yetu.Tutahitaji 3 big players kwaajili ya msimu ujao.
Center Back
Right Winger
Goalkeeper
Ondoa wachezaji wafuatao
Matta
Jones
Perreira
Rojo
Lingard
Sanchez
Smalling
Pandisha daraja wachezaji 3 kutoka kikosi cha pili tutawakimbiza Liverpool na Man City msimu ujao.
yah penati siyo goli,penati ni penatiKwani penat sio goal?
PLUS: Tusajiri kocha wa kutain our defending system. Correlation ya poor defenders and poor defending system inaiexpose man utd vibaya sana.With Champions League qualification squad yetu inahitaj maboresho
1. Goalkeper Rudisha Dean Henderson
2. Central Back mmoja
3. Winger weka Sancho
4. Midfilder offload lingard pereira sajili Grealish kwa ajili ya squad Depth
5. Striker Mwengine kipind Ighalo anaondoka January tuwe na Mbadala
Shida ni unamuuza pogba unamleta nani wa level zake?PLUS: Tusajiri kocha wa kutain our defending system. Correlation ya poor defenders and poor defending system inaiexpose man utd vibaya sana.
lakini pia kama inahitajika kumuuza pogba ipatikane hela ya usajiri auzwe tu.
Huu uzi umeingiliwa na huyu msng anajiita papaa gx sijui..anakera kisng yan..
Yan napata ht kichefuchefu ku-scroll kila ninapoona comments zake..
I think kama mashabiki wa utd tureport kila vomment ya kijinga anayoweka humu ili awe banned akili ikae sawa.
Yap,, kwa mchezo wa Jana Pogba alikuwa vizuri na naona anaanza kurudisha imani yake kwa mashabiki! Nilimuangalia sana alijitahidi kutulia na kufikiri! Nilimshuhudia Mara kadhaa akigeuza uelekeo wa mpira kwa maslahi ya united na kutengeneza nafasi pamoja na kutoa pasi za maana japo kuna wakati alionekana kuwa mzito kidogo!Shida ni unamuuza pogba unamleta nani wa level zake?
Labda tusajili kwanza then auzwe but i wish kumwona pogba next season.
Hatujamaliza msimuImetimia,hongereni fans wote kwa uvumilivu mkubwa katika msimu mzito huu,itoshe kusema Tumeuona mkono wa Bwana hahahahhaa!!! GGMU tukutane UEFA na next season.
Rashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.Jana nilielewa kwa NM man utd inahangaika kumpata sancho. inavyoelekea Rashford atakuja kukosa Namba.
Mashabiki wa Manchester pigeni Ignore Block hili dubwana lililopewa simu ya tecno na shemeji Yake.NyumbuVAR
NyumbuPENATI
Rashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.
Fernandez ndo "reason" kwann tumefika top 4 msimu huu..usajiri wake umeibadilisha utd kbs..plus goals and assists..Fernandez ana-deserve heshima ya kutosha mkuu.Rashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.
Na mimi nilishamwambia..ila i just hate his sissy ass comments kwny nyuzi za wanaume..ananikera hajui tu..Hivi kwanini msiachane naye, mimi nimemkataza kuni quote, nikiwa masoma posts, nikikutana na yake siisome, yaani kama hayupo
Yaani hata kutumia muda wangu kumweka kwenye orodha ya ignore naona nampa kick
Msimjibu, atajidharau mwenyewe
Sahau kuhusu kocha..ngoja tumpe muda tuone..PLUS: Tusajiri kocha wa kutain our defending system. Correlation ya poor defenders and poor defending system inaiexpose man utd vibaya sana.
lakini pia kama inahitajika kumuuza pogba ipatikane hela ya usajiri auzwe tu.
Bruno Fernandes ana heshima kubwa sana kutoka kwangu. [emoji23] Lugha tu ndio imeonyesha sijui mchango wake ila mchango wake nautambua na unatambulika kwa kila shabiki wa Manchester United. Ila nilichokuwa na-refer ni kutokana na comment ya mdau pale juu kuwa Sancho akitua Rashford atakosa namba.Dah... Mkuu hujamtendea haki BF
Eti, sijui hao akina Fernandez [emoji3]