Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,563
- 21,517
Tunachoweza ni ushindi tuBila penalti hamna mnacho weza
Tumefika nafasi ambayo Leceister walikuwa wametutunzia.
Chelsea wamebaki kwenye position yao waliokuwa wanaipigania.
Tukutane next season kwajili ya EPL Liverpool wajiandae kurudisha kombe katika jiji la manchester.
Na wewe waombe wakupe, ili uweze....Bila penalti hamna mnacho weza
Usiingie jukwaa hili kama hutaki quoteDogo nimekwambia achana na mm, usiwe unani qoute
Bruno alikuwa anakata viuno tu leo kwanini asitolewe sasa
Kipa hakuna haja ya kumleta mwingine, degea anatosha.With Champions League qualification squad yetu inahitaj maboresho
1. Goalkeper Rudisha Dean Henderson
2. Central Back mmoja
3. Winger weka Sancho
4. Midfilder offload lingard pereira sajili Grealish kwa ajili ya squad Depth
5. Striker Mwengine kipind Ighalo anaondoka January tuwe na Mbadala
Tunahitaji additional players watatu hasa striking force yetu bado haitishi sana but next season kupigania kombe tunahitaji consistency ya matokeo tu.Hii timu yenu nayoiona haishtui.
Kivumbi msimu ujao kitaendelea kuwa kati ya Man City na Liverpool.
Mko nafasi ya ngapi?Kuwa mpole
Mkuu huu ni uzi wa mashabiki wa man united na sisi hatujui lugha chafu... hizi lugha chafu hatujazizoe kwenye timu yetu. Tafadhali kuwa na heshima kwenye nyuzi za watu.Taahira nguruwe ww
Mhh! Pamoja na kupoteza mipira Bruno katengeneza pasi 5 kwenye eneo la hatari , hata penalti aliyochezewa martial ikiwemo.Bruno alikuwa anakata viuno tu leo kwanini asitolewe sasa
Mimi ni basha wako tu jitekenye hapo lakini lazima uje nikupitishie kitu chenye mcha kali nyuma hukoPumbavu ww kwani mm nimeku quote.!!?? Chokoraa ww fanya yako achana na wanaume utaolewa kenge ww.
Man Utd ninayoiona sasa hatubebi hilo kombe unalolifikiria.Tunahitaji additional players watatu hasa striking force yetu bado haitishi sana but next season kupigania kombe tunahitaji consistency ya matokeo tu.
This season timu zote zilizokuwa zinamkimbiza Liverpool hazikuwa na consistency ya matokeo ya ushindi.
Hilo jamaa jinga sana..Ignore/Block him ili usione content zakeHuu uzi umeingiliwa na huyu msng anajiita papaa gx sijui..anakera kisng yan..
Yan napata ht kichefuchefu ku-scroll kila ninapoona comments zake..
I think kama mashabiki wa utd tureport kila vomment ya kijinga anayoweka humu ili awe banned akili ikae sawa.
Jana nilielewa kwa nini man utd inahangaika kumpata sancho. inavyoelekea Rashford atakuja kukosa Namba.1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.🤪🤪🤪
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Timu zote wanamkamia,anakabidhiwa watu Wa deal nae....mechi na west ham nk walibana Sana. Mm mnisaidie pogba akicheza kana kwamb anaslow movement.Mhh! Pamoja na kupoteza mipira Bruno katengeneza pasi 5 kwenye eneo la hatari , hata penalti aliyochezewa martial ikiwemo.
Kwa timu hii, bado mna safari ndefu sana. Labda kuwania top 4 tu lakini sio kikombe chochoteTumefika nafasi ambayo Leceister walikuwa wametutunzia.
Chelsea wamebaki kwenye position yao waliokuwa wanaipigania.
Tukutane next season kwajili ya EPL Liverpool wajiandae kurudisha kombe katika jiji la manchester.