Blah blah!
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kupongeza timu yoyote inayoshinda? Fungua threads kwa ajili ya Stoke City, QPR, Soton, Wigan, Swansea n.k. ili zikishinda upate mahala pa kutoa pongezi zako.
Burudani my foot!
Pongezi yako itapokelewa hata kama ya kinafiki.
Man City wameshafanya Old Traford kama uwanja wao wanyumbani!! Kumbuka last year it was 6-1 and now 2-1!!!Mancity ni timu kubwa kwenu Arse8, ndo maana wako juu yenu.Huyu RVP amekuja ManU kuchukua kombe na msaada alioutoa mpaka sasa ni mkubwa sana
Raha ya mechi bao tu...ushindi unashangaliwa mara moja tu...hayo mambo ya kombe mbwembwe tu!!!
Poleni sana majirani that is aguero bana.. wapi mfarisayo BelindaJacob Nzi mtotowamjini Mc Tilly Chizenga
Maisha yanaendelea.....bado kuna pointi 12.....Yuuuuuuuu!.. mchokozii kweli..khe khe kile kipigo jana hakikunipendeza kabisa..Agrrrrrr!!
Yuuuuuuuu!.. mchokozii kweli..khe khe kile kipigo jana hakikunipendeza kabisa..Agrrrrrr!!
Yuuuuuuuu!.. mchokozii kweli..khe khe kile kipigo jana hakikunipendeza kabisa..Agrrrrrr!!
Wamepakatwa,wazee wa kubebwa.RVP vipi mazee?